Toyota hizi...!

TUONGEE UKWELI HAYA YAFUATAYO NDIYO SHIDA KUBWA

1. USHAMBA WA MAGARI
2. UVULANA/USICHANA/ UJANA /SIFA
3. UWEZO MDOGO WA KUENDESHA HIGHWAY AU TUSEME KWA BONGO NJIA ZA MKOANI
4. MIUNDOMBINU/BARABARA FINYU NA KONA ZA GHAFLA
5. UZEMBE WA MADEREVA/ MAZOEA/UCHOVU
6. POMBE WAKATI WA SAFARI/AU KUAMKA NAZO
7. MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO MENGI MABOVU NA HAWAFUATI WALA KUZINGATIA SHERIA, WALA KUJALI WATUMIAJI WENGINE
8. TRAFFIC WANAKULA SANA RUSHWA, NA WANAKOMOA MADEREVA WASIO TAYARI KUTOA RUSHWA
9. UKIWA SAFARINI JITAHIDI UWE NA MWENDO WA KIASI MFANO MAXIMUM 120KM/HR
Factors zote hizo tunaziweka kwenye:
1. Human factors
2. Mechanical factors
3. Environmental factors


YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Brevis ni stable kuliko crown Mzee. Achaa ubishi. Ajali za brevis ni chache kuliko za crown
Hiyo inaweza kuwa sababu ndogo.. ila ukweli ni kwamba Brevis nyingi zinamilikiwa na Wanaume wa makamo ambao wanajua umuhim wa kuishi na familia... Crown nyingi zinamilikiwa na Wanaume vijana, wao maisha wanadhani ni Show-Off wanaishia kufia barabarani...
 
Brevis ni stable kuliko crown Mzee. Achaa ubishi. Ajali za brevis ni chache kuliko za crown
Sababu kubwa inayofanya ajali za Brevis ziwe chache kuliko crown ni..
1..Brevis ni chache ukilinganisha na Crown

2..Brevis nyingi au GX 110 zinamilikiwa na watu ambao ni aged kidogo UNLIKE Crown, wengi ni vijana wanaopenda ligi ambazo mwisho wake Tuzo yake huwa gharama ya damu na uhai wao..

Nb...sitaki kukubali kuwa Brevis ipo stable kuliko crown, bali ligi za kijinga za wamiliki wa ceown ndiyo zinazowagharimu vijana hawa....ni kama tu vijana wa boda boda zinavyowavunja miguu kila siku
 
Poleni wana yangaView attachment 2328967View attachment 2328969View attachment 2328968View attachment 2328970
IMG-20220819-WA0368.jpg
 
Back
Top Bottom