Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,311
- 8,877
Ndio walengwa... kwa maelezo zaidi fika ofisi za chama zilizo karibu na wewe
Ndio walengwa... kwa maelezo zaidi fika ofisi za chama zilizo karibu na wewe
Changamoto kweli kweli,kwahiyo kama campsite iko kwenye shamba langu napo watataka huyo ecologist?Watu wa mazingira hasa ecologyst ndio wanzinguaga hizo mambo utaingia gharama hizo za kutafiti impact ya ujemzi wa hiyo camp mpka ipitishwe utashika adabu yangu na wanaqeza kukulazimisha uajiri ecologist tena mbobezi hapo ndio utakapoona ugumu qa kuwekeza hizo mambo kama una mtaji wa kununua mahema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha maendeleo hayana chamaNdio walengwa... kwa maelezo zaidi fika ofisi za chama zilizo karibu na wewe
Mkuu kwenye hii biashara mtaji ni website tuu. km kuna It au mtu wa kunifinance tutengeneze website ya maana, hosting na search engine. baada ya hapo ni promotion kwenye social media. Mambo mengine yataenda smoothly no need kuanza na magari utakodisha tuu.Mtaji kama kiasi gani
Mkuu njoo pm tuyajenge. in fact cna ajira ila km unakitu unaweza fanya kika add values kwenye business bonus zipo.Mkuu kijana nipo hapa ajira yoyote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unahitaji sh ngap mkuu.Mkuu kwenye hii biashara mtaji ni website tuu. km kuna It au mtu wa kunifinance tutengeneze website ya maana, hosting na search engine. baada ya hapo ni promotion kwenye social media. Mambo mengine yataenda smoothly no need kuanza na magari utakodisha tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu million 2 kama na nusu hivi tutengeneze site na all promotions.Unahitaji sh ngap mkuu.
Hiyo camp utaifanyia wapi/Mkoa gani na unalenga vivutio ganiMkuu million 2 kama na nusu hivi tutengeneze site na all promotions.
km tutapata wageni watatu wa safari au mlima hela yako yote imerudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan ulichokiongea nimekutana nacho majuzi moro..kuna kampuni fulan huko wanamake money fresh...tena kwa bei cheap kweli kweli...kwenda milima ya udzungwa na kule waterfalls choma unapay $25..km una family watoto under10yrs ni free of charge...
kuna mikoa jaman ina vivutio vizuri sana basi tu havitangazwi..mfano Njombe na Morogor vijijini
Nimeipenda hii.Mkuu million 2 kama na nusu hivi tutengeneze site na all promotions.
km tutapata wageni watatu wa safari au mlima hela yako yote imerudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana,kama utakubali kua sehemu ya timu hii itakua nzuri zaidi.Hili wazo n zuri ikiwa utapata mawakala nchi zilizoendelea ukisema utawategemea wabongo itakuchukua miaka kadhaa kupiga hatua. Nilibahatika kupata uzoefu wa kutosha katika sekta hii kwa zaidi ya miaka mitano na ninaweza kuwaonesha (GAP) ambalo mnaweza kulitumia vizuri na mkapiga hatua ikiwa hamtaendekeza tama za utajiri wa haraka.
Mimi ni mdau wa maendeleo napenda sana kuona mwenzangu akisogea Mbele,Kupiga hatua hivyo nawakaribisha kwa yeyote mwenye swali anaweza kuuliza nikamsadia kwa kidogo ninachofahamu. Ahsanteni.
Asante sana,kama utakubali kua sehemu ya timu hii itakua nzuri zaidi.
Mimi nina maswali machache
1.Tunawezaje kupata mawakala kutoka nchi zilizoendelea
2.Watalii wengi wanapenda nini hasa katika nchi za kiafrica hususani Tanzania
3.Unahisi sekta ya utalii kwanini imeshikiliwa na watu wachache (monopoly).
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana,japo naendelea kuuliza maswali,kadhaa wa kadhaa,Swadakta!
1. Inawezekana kuwapata kwa kuwa nao pia wanatafuta watu wakufanya nao kazi sababu wanapata commission kwa kila kazi wanayokupa. na mara nyingi huwa wakati usio wa ubize sana wanapenda kutembelea baadhi ya properties ili kujiridhisha wakati wakimpangia mgeni kuja kwako kulingana na budget yake wanauhakika na kile wanachomwambia atakipata kutoka kwako.
2.Mara nyingi wengi huja kwa ajili ya kuona wanyama na mbuga pendwa sana ni SERENGETI hii ni kwa ajili ya Migration ya wanyama kuvuka mto MARA kwenda Kenya. Na pia wanapenda Mt. Kilimanjaro na Ngorongoro kwa sababu ya Creator pamoja na kuona Rhino pale.
3.Sidhani kama imeshikwa na watu wachache ila naona kama wachache ndo waliofanikiwa saaana. ila kampuni ziko nyingi sana za haya masuala hususani mikoa ya Kaskazini (Arusha & Kilimanjaro). Ila wengi wenye hizi kampuni wamebase sana kutembeza watalii na ni wachache sana wanaomilika CAMP,LODGE AU HOTEL. wengi wanaomiliki Hotels na Lodge waliingia sokoni miaka ya nyuma kidogo na ndo hao bado wanafanya vizuri hadi kufika wakati huu.
Ila mkiwa serious na mnachokifanya naamini mmnaweza kufika mbali sana!