Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

yaan ulichokiongea nimekutana nacho majuzi moro..kuna kampuni fulan huko wanamake money fresh...tena kwa bei cheap kweli kweli...kwenda milima ya udzungwa na kule waterfalls choma unapay $25..km una family watoto under10yrs ni free of charge...
kuna mikoa jaman ina vivutio vizuri sana basi tu havitangazwi..mfano Njombe na Morogor vijijini
 
1548393825347.png
 
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.

Wekeni namba zenu za simu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji watu wa criteria zipi? Mbona wazo lako ni zito ila umeliandika kiwepesi sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom