Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,435
- 8,577
Yea sureUwe na usiku mwema madam......... you can be my crush in JF....
Nytsssssssssss
Yea sureUwe na usiku mwema madam......... you can be my crush in JF....
Moyo 💓 unauonaje?Tusiangalie sura tuangalie moyo jamani
Angel Nylon 😍 The one and only💖💞💕
Hii nayo ilikuwepo selfika? Au mzee ni ile kazi yako?😆😆
tumefanya nn sie wafupi?Tupumzishe basi, siku nyingine waseme wanaume wafupi
Kupitia matendo ya mtu au namna anahandle vituMoyo 💓 unauonaje?
Sahihi 100% wengi wao wanaojipost ni wachovu haswa n bc emoji wanazoziweka zinawasitiri
Weng wa humu n masingle mother waliochoka, mimama ya makamo iliyokomaaemoji zinawaficha na mengi, wakati fulani miaka ya 2020 kurudi nyuma kulikuwa na memba fulani humu alikuwa very active. Nikafanikiwa kupata appointment naye maeneo ya Ubungo. Kwa ufupi na sio kwa ubaya nilichokitarajia kukiona sicho nilichokutana nacho.
Weng wa humu n masingle mother waliochoka
Ukweli mchungu.JF hakuna totoz, tusidanganyane
Hao ni 1 kati ya 20hapa kwenye u singomaza sina uhakika sana mkuu. maana navifahamu videmu fulani humu ambavyo bado vipo chuo wala bado havijaingia kwenye mambo ya uzazi.
Mademu wachovu ndo wamejaa humuUkweli mchungu.
Mkuu hilo ni jambo la kawaida unapojuana na mtu mitandaoni kisha ukakutana nae live ikawani tofauti na matarajio yako,emoji zinawaficha na mengi, wakati fulani miaka ya 2020 kurudi nyuma kulikuwa na memba fulani humu alikuwa very active. Nikafanikiwa kupata appointment naye maeneo ya Ubungo. Kwa ufupi na sio kwa ubaya nilichokitarajia kukiona sicho nilichokutana nacho.
NotedMkuu hilo ni jambo la kawaida unapojuana na mtu mitandaoni kisha ukakutana nae live ikawani tofauti na matarajio yako,
Hata Wanawake nao,wapo watakao kutana na wewe na ikawa sio kama walivyo tarajia wao,cha msingi kama hukua interested na mtu,unapotezea tu ila kila mmoja aendelee kumuheshimu mwenzake,
Mwanamke mmoja uliyekutana nae,hawezi kutumika kama sample kuwahukumu wanawake wote wa JF (Simaanishi kua wewe umewahukumu wanawake wote wa JF)
Atuwekee na picha yake😎Juzi juzi aliwasagia kunguni wanaume wenye manyony* kama ya wanawake! 😊
Bado kidogo wenye vipara tutafikiwa.
Kama yeye ni mfupi hawezi kuwasagia kunguniTupumzishe basi, siku nyingine waseme wanaume wafupi
Kwani waliosemwa hapa wamefanya nini?tumefanya nn sie wafupi?
Na inavyoonekana ni mfupi huyu maana sio kwa hili gubuKama yeye ni mfupi hawezi kuwasagia kunguni