Totozi zinazoposti picha zao selfika

Totozi zinazoposti picha zao selfika

Kumbe kulikua na part 1 huu Uzi, Mangi kawaje siku hizi?

Kama vp turudisheni white party 2026 iliyokuepo zamani kiingilio ni kusema code uliyotumiwa pm mfano getini pale unafika unasema "nyoka" unaingia. Party iwe December. Unahisi watu wangapi watahudhuria?
 
Achana na ujinga wa kuamini picha za wadada wa hili jukwaa na kuweka hitimisho kuwa ni wazuri .

Sio kwamba kila mdada akiposti picha yake ni m baya .

Kuna pisi kali mno JF ila selfika mmezidi kutoa sifa za uwongo kwa pisi mbovu
Kama kweli Mallerina ni yule? Itoshe kusema huyu binti ni 🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom