Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,679
- 36,641
Yupo humu na ana mke kabisa Satan + satans wifeMkuu shetani huwa mnamuonea wapi ninashida nae sana.
Yupo humu na ana mke kabisa Satan + satans wifeMkuu shetani huwa mnamuonea wapi ninashida nae sana.
Hahahahaaaa physical appearance nimesoma kwenye vitabu jamaa ni mzuri ajabu na anatoa sauti 12 akiimba...Hivi ungemuona shetani jinsi alivyo ungesali kweli wewe ?
Hawa nao....Yupo humu na ana mke kabisa Satan + satans wife
Mwanzo 2 nenda kasome madam utaelewa, nikikwambia kwa comment nadhani hutaelewa!Which bone sir
Naona nimejishindia mtu wa Mungu .Mwanzo 2 nenda kasome madam utaelewa, nikikwambia kwa comment nadhani hutaelewa!
yeah!!Naona nimejishindia mtu wa Mungu .
We msabato au
Nataka mtu wa heka hekayeah!!
Tena mwinjilist wa jf,
Hahahahaaaaa hapana madam ki gen- z cha 2k kinachojitambua tu!Nataka mtu wa heka heka
We pastor au
Unajitambua how?Hahahahaaaaa hapana madam ki gen- z cha 2k kinachojitambua tu!
Mahusiano yangu na MUNGU ndio foundation ya maisha yangu!Unajitambua how?
Ila ww gen z una mamboMahusiano yangu na MUNGU ndio foundation ya maisha yangu!
How about you madam? comment yako ile ya kwanza about kuangalia moyo ndio nikajua nadhani huyu atakuwa ni binti sayuni.Ila ww gen z una mambo
Inasikitisha sana!JF hakuna totoz, tusidanganyane
Mimi sio wa Sayuni heka heka tupuHow about you madam? comment yako ile ya kwanza about kuangalia moyo ndio nikajua nadhani huyu atakuwa ni binti sayuni.
Uko vizuri madam, be blessed! Ni vyema pia ukampokea YESU!!!Mimi sio wa Sayuni heka heka tupu
AmenUko vizuri madam, be blessed! Ni vyema pia ukampokea YESU!!!
Mbona kama una mind wa kwetuSidhani
Uwe na usiku mwema madam......... you can be my crush in JF....Amen