Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,433
- 8,437
Unatafuta niniIndeed! umenena vyema mkuu
Nitakufatilia.....bado natafuta....
Unatafuta niniIndeed! umenena vyema mkuu
Nitakufatilia.....bado natafuta....
🤣🤣🤣Acha utaniKumbe mnapostigi Moyo.
Jamani nyinyi haaah😹
Tukuone bhasi Dada etu eenh.🤣🤣🤣Acha utani
Tupia yako selfika tufaidike membersTukuone bhasi Dada etu eenh.
Hata kidogo tu yani nhee.
Hahahahaaaa naniliii...... UBAVU wangu.Unatafuta nini
Looh hilo jukwaa bado lipo!Achana na ujinga wa kuamini picha za wadada wa hili jukwaa na kuweka hitimisho kuwa ni wazuri .
Sio kwamba kila mdada akiposti picha yake ni m baya .
Kuna pisi kali mno JF ila selfika mmezidi kutoa sifa za uwongo kwa pisi mbovu
Tupia yako selfika tufaidike members
Psalms 27 inasemajeHahahahaaaa naniliii...... UBAVU wangu.
Bora ni picha inakubalika
Natumai kila usiku unawapostia vinywaji tu bwashee.Ishi humo humo Bwashee
Hivi ungemuona shetani jinsi alivyo ungesali kweli wewe ?Najua Psalm_27 :14
Umngoje BWANA uwe hodari upige moyo konde, naam umngoje BWANA......
Kuwa makini bwashee usigawa namba ovyo kwa pisi za jf ..Bwashee sio kweli 😁
Mkuu shetani huwa mnamuonea wapi ninashida nae sana.Hivi ungemuona shetani jinsi alivyo ungesali kweli wewe ?
Indeed you can be my bone madam....God is good indeed
Which bone sirIndeed you can be my bone madam....