Pia uko kwa mtu mwenyewe, yaani mtu mzuri ni mzuri tu! Full stop 😎😀😀😀😀sasa kwani uzuri wa mtu si upo machoni pa mtu au imebadilika
Umetupumzisha wenye vitambi sasa upo na totoz za JF!
Jamaa akiwa bar akipita mtu ana kitambi anaruka na thread yake! Subiri apite mwenye kipara huku kavaa yeboyebo 😀😀😀Juzi juzi aliwasagia kunguni wenye wanaume wenye manyony* kama ya wanawake! 😊
Bado kidogo wenye vipara tutafikiwa.
Hapa mpaka uwe na macho ya rohoni, watu ni wengi binadamu wachache.Tusiangalie sura tuangalie moyo jamani
Achana na ujinga wa kuamini picha za wadada wa hili jukwaa na kuweka hitimisho kuwa ni wazuri .
Sio kwamba kila mdada akiposti picha yake ni m baya .
Kuna pisi kali mno JF ila selfika mmezidi kutoa sifa za uwongo kwa pisi mbovu
Kwa sababu kila unayemtongoza anakuchomolea?Wanawake wa jf ni vichomi tu. Hawana uzuri wowote.
Ni kweli ila ndo ivyoHapa mpaka uwe na macho ya rohoni, watu ni wengi binadamu wachache.
Tuishi tu humohumo.Ni kweli ila ndo ivyo