hizi ni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Totozi kama hizi ni nouma

    Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔 Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okoa kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hizi ni zama za kujiuzulu kwa barua

    Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani. Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua. Anayefata atakuwa nani?
  4. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sheria za ndoa za Watibeli zinazotufanya tuishi Duniani kama tupo peponi. Mkitaka mnaweza kuzikopa zitakazowafaa

    HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Nimeona serikali ikitaka wadau na wananchi kutoa maoni ya Sheria za ndoa. Nikasema, Mimi kama Mtibeli nitoe muhtasari wa Sheria za...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo shuleni nilifundishwa kuwa.. kumbe siku hizi ni vitu tofauti!?

    PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE DICK ilikuwa ni NAME/JINA BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA SCREW ilikuwa TOOL/ZANA HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI BALLS...
  10. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Documents Tatu unazo hitaji Wakati wa Ku file annual returns

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns; 1. Form no. 128 Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Mrusi: Hizi ni njia mbalimbali za kujua kama kuna Camera za siri Sehemu ulipo

    Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao. Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni kampeni zisizo rasmi zinazonikera mno mtandaoni

    1. Usile wanga 2. Usioe single mother 3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji 4. Usioe asiye bikra 5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+ 6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo. ONGEZEA ZINGINE
  15. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ina watu million 70 unaajiri 7000 alafu unatamba. Hizi ni akili au?

    Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1. Mtaji wa Kampuni Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
Back
Top Bottom