TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

Uoga gwani bwana Hata asiyejuwa kupiga Penalt hapigi vile Wizi mtupu Rushwa zenu hizi zimezidi.

Kuna siku mnakosaga maneno! Lkn sisi tutafanya kazi zetu kimya kimya. Rage atanyonyoka nywele mwaka huu
 
Rage amekutuma jambo lililomshinda yeye?

Mpe salamu zangu, mwambie Twitwe ndio kafunga goli la pili

Rage alishamwona twite alivyozungushwa na Edo Christopher. Cha msingi leo hamna mpira hapo, mipango tu ndo inacheza hapo na ilishakamilika. Wazugeni hao hao
 
Mwanza ilikuwa inavipaji vya wachezaji ila unashangaa siku hizi Imeanguka. Mpira ulikuwa zamani bwana Costal,Pamba,Pan African,Sigara zilikuwa zinaleta upinzani mkubwa sana ukitizama hii Game unaona Kipaji cha Yanga ni kikubwa sana kimpira. Sio Fan wa Yanga ila wanacheza kwa kutizamana vizuri timu zengine zijifunze mpira sio maguvu.

mkuu umenena vema skuizi kuna timu inakikosi kazi cha fitna, ko timu ikicheza na yanga inategemea sana na hao ndugu wanaojiita makomandoo wameandaje fitna
 
Uoga gwani bwana Hata asiyejuwa kupiga Penalt hapigi vile Wizi mtupu Rushwa zenu hizi zimezidi.

Usiangalie huo mpira, kama uliupania ukijua toto atacheza mpira sahau. Leo ni mipango tu. Ulifikiri kanjibai katoa motisha kwa Yanga tu, hata kwa toto!
 
Rage alishamwona twite alivyozungushwa na Edo Christopher. Cha msingi leo hamna mpira hapo, mipango tu ndo inacheza hapo na ilishakamilika. Wazugeni hao hao

Historia ndio inakuongoza kusema uyasemayo. Unajua kwa asili, Sunderland (Simba) walikuwa wafanyakazi wa ndani wa wahindi, kwa hiyo unaweza kuona kwamba umbea wa kumchungulia bosi ni sehemu ya maisha. Kama unabisha muulize huyu mzaramo akwambie

Maneno mengi hayatuzuii sisi kufanya mambo yetu. Rage aliongea weeeee, Twite katua jangwani. Sasa na wewe piga mdomo wee, sisi tunakunja points tunarudi DAR.
 
Yaani naweqwe unauliza matokeo kabisa kati ya yanga na mtoto wakewakati unajua leo akifungwa manji kwisha habari yake, leo watake wasiake hao toto watafungwa tu...chezea pesa ya EPA.

kumbe ndo maana tegete sr alipoulizwa anauhusiano na yanga alikuwa mkali shajua sasa..
 
Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!

Unajua ndoto za alinacha?? Hahah good dreams kaka. Jipe moyo kabla ligi haijaisha . Na msimu huu tunabeba ndoo mapemaa kama huamini muulize Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!

nahisi hii gemu itakuwa droo vile..
 
Hapo John Tegete anaumia kwa nini mwanae Jerry hajafunga hadi sasa, Toto wangemwacha yule kocha wa mwaka jana Yanga asingetamba sana leo.
 
Umeoteshwa lini?

Usikimbie mwisho wa ligi. Baada ya Yanga kufungwa na Athletico kwenye mechi ya kwanza ya Kagame nilisema humu kuwa Yanga have been through many such trips before and eventually emerged champs. Watu walibeza kama unavyobeza, baada ya mashindano kwisha walipotea mtandaoni.

Na wewe usije ukapotea kama hao wengine mwishoni mwa ligi.

Yanga ni champion wazoefu, wanajua mahala na wakati wa kutupa karata ya turufu.

Dont go away!
 
kumbe ndo maana tegete sr alipoulizwa anauhusiano na yanga alikuwa mkali shajua sasa..

Tatizo lenu simba kwa toto ni sawa na mbwa kwa chatu. Hamjawahi kuondoka na ushindi uwanja wa kirumba mkikutana na toto, ushindi kwenu ni droo mara nyingi huwa mnakung'utwa sasa mnapoishuhudia Yanga inashusha kipigo mioyo inawaenda mbio.
 
Back
Top Bottom