Toshiba Vs Dell

kanjuki

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
202
84
Habari, hizi kampuni za utengenezaji wa vitu zinatofautiana Sana katika bidhaa zao hasa linapokuja suala la ubora na uimara wa bidhaa. Karibuni tushirikishane ubora wa bidhaa za makampuni haya mawili hasa katika ubora na uimara wa bidhaa..karibu tujadili
 
Baadae ukishapata jibu nami naomba kujua ubora kati ya Mkokoteni na Kirikuu.
 
Hapa huwezi kupata Jibu sahihi kutokana na kwamba kila mtu atasifia na kukujibu kwa sababu anatumia bidhaa fulani kwahiyo kila mtu atajaribu kusifia Alicho nacho...

Ila Dell na Toshiba Hamna tofauti kubwa sana na ndio maana kila mtu anatumia anayoona inamfaa...

Maisha ni kuchagua

Kuna Toshiba Za thamani kuliko Dell
Na kuna Dell za Maana Kuliko Toshiba....

Ila kwangu mimi naona Mshindani Sahihi wa Dell ni HP na Siyo Toshiba
Safi mkuu kwa majibu yako ..
 
Majina Tu hayo yasiwachanganye kinachoamua ubora wa pc Ni specifications zake. Wote wana pc zinazolingana
 
pc zipo mature sana, leo hii hata wewe unaweza ukaingia mtaani ukatengeneza laptop/desktop yako kwa ku assemble vitu na ikawa na ubora mkubwa tu.

kinacholeta ubora wa computer ni vifaa vya ndani vilivyotengenezewa na sio jina la hio computer.
 
Back
Top Bottom