Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
6,624
2,000
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha na kuitambua ili kuipa credit stahiki.(Regions with the Largest Shares of GDP 2019), Figures in Million TZS.

1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)

2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)

3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)

4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)

5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)

6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)

7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)

8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)

9. Geita = 6,211,376 (4.4%)

10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%)

MY TAKE: Nimefurahishwa na kuendelea kupungua kwa gap la kiuchumi kati ya Dar na Mikoa Mingine. Ukiangalia hapo utakuta mikoa 3 inayoifuatia Dar es Saalam kwa pamoja imechangia zaidi kuliko Dar ingawa gap bado ni kubwa but natumai litazidi kupungua kadiri uwekezaji unavyokua mikoani na kufuta kabisa utegemezi wa uchumi kwa Mkoa wa Dar na ile dhana ya Dar ndio Tanzania.

Pili nitoe pongezi kwa Mikoa ya Mwanza, Mbeya na Geita kwa kuendelea kufanya vizuri, japo inashangaza kuona mkoa kama Morogoro, Lindi, Ruvuma, Kagera, Njombe, Mtwara na Kigoma kushindwa kuchangia zaidi kwenye pato la Taifa maana mikoa hiyo ina kila kitu kinachoweza kuufanya kuongoza Kitafa. kama ardhi nzuri, mvua za kutosha, mifugo, madini, misitu bahari, maziwa nk

Kana kwamba haitoshi ifike mahala viongozi wa mikoa mingine wapewe malengo ya miaka 5, kwa sababau haiingii akilini kwamba zaidi ya mikoa 16 iliyobaki iko chini ya asilimia 3.5% ,sasa hapa si wanalishwa bure hawa. Kwa maelezo zaidi soma PDF hapa chini pg 48-54.

SOURCE-NATIONAL ACCOUNTS OF TANZANIA MAINLAND 2013-2019, SECOND EDITION IN THE REVISED GDP SERIES BASE YEAR 2015

CREDITS - National Bureau of Statistics, Ministry of Finance and Planning, November 2020.
 
Attachments

  • File size
    2.1 MB
    Views
    35

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
Niwasalimu kwa jina la JMT

Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha na kuitambua ili kuipa credit stahiki.(Regions with the Largest Shares of GDP 2019)

1. Dar es Salaam=23,896,520 (17%)

2. Mwanza=10,285,442 (7.4%)

3. Mbeya=7,849,917 (5.6%)

4. Shinyanga incl.Simiyu=7,175,982 (5.1%)

5. Morogoro=6,716,296 (4.8%)

6. Arusha=6,562,356 (4.7%)

7. Tanga=6,548,355 (4.7%)

8. Kilimanjaro=6,298,586 (4.5%)

9. Geita=6,211,376 (4.4%)

10. Ruvuma=5,317,073 (3.8%)

MY TAKE: Nimefurahishwa na kuendelea kupungua kwa gap la kiuchumi kati ya Dar na Mikoa Mingine.Ukiangalia hapo utakuta mikoa 3 inayoifuatia Dar kwa pamoja imechangia zaidi kuliko Dar ingawa gap bado ni kubwa but natumai litazidi kupungua kadiri uwekezaji unavyokua mikoani na kufuta kabisa utegemezi wa uchumi kwa Mkoa wa Dar na ile dhana ya Dar ndio Tzn.

Pili nitoe pongezi kwa Mikoa ya Mwanza,Mbeya na Geita kwa kuendelea kufanya vizuri,japo inashangaza kuona mkoa kama Morogoro, Lindi, Ruvuma, Kagera, Njombe, Mtwara kushindwa kuchangia zaidi kwenye pato la Taifa maana mikoa hiyo ina kila kitu kinachoweza kuufanya kuongoza Kitafa. kama ardhi nzuri, mvua za kutosha, mifugo, madini, misitu bahari, maziwa nk

Kana kwamba haitoshi ifike mahala viongozi wa mikoa mingine wapewe malengo ya miaka 5, kwa sababau haiingii akilini kwamba zaidi ya mikoa 16 iliyobaki iko chini ya asilimia 3.5% ,sasa hapa si wanalishwa bure hawa. Kwa maelezo zaidi soma pdf hapa chini pg 48-54.

SOURCE-NATIONAL ACCOUNTS OF TANZANIA MAINLAND 2013-2019, SECOND EDITION IN THE REVISED GDP SERIES BASE YEAR 2015

CREDITS-National Bureau of Statistics, Ministry of Finance and Planning,November 2020.
Nimefurahi kuiona Geita ikiinua chato
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Ndio utajua hujui yaani kwa haraka haraka inaonesha mikoa inayotegemea biashara na kilimoiko vizuri kuliko yenye viwanda na migodi
Ni ajabu sana!
Nimeacha kijijini kwetu watu wanachimba dhahabu (wachimbaji wadogo) na wamejikwamua kweli kiuchumi na serikali inabeba mapato.

Mkoa wa Mara una dhahabu nyingi sana
Ajabu sana hatupo kwenye list.

Mandhari ya kijijini kwetu
IMG_20210417_065048_564.jpg
IMG_20210417_064715_558.jpg
IMG_20210417_064645_748.jpg

IMG_20210417_064657_554.jpg

IMG_20210417_064629_983.jpg
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
7,583
2,000
Ndio utajua hujui yaani kwa haraka haraka inaonesha mikoa inayotegemea biashara na kilimoiko vizuri kuliko yenye viwanda na migodi
Kuna mikoa inayoliingizia taifa fedha na mikoa yenye pato/gdp kubwa.
Kuna utofauti.

Kwa mfano, mikoa yote kwenye hiyo list ukijumlisha mchango wao kwenye kodi inayoingia serikalini (ukiondoa Dar). Halifiki mchango wa mkoa wa Arusha peke yake.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,450
2,000
Mkuu
Niwasalimu kwa jina la JMT

Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha na kuitambua ili kuipa credit stahiki.(Regions with the Largest Shares of GDP 2019)

1. Dar es Salaam=23,896,520 (17.1%)

2. Mwanza=10,285,442 (7.4%)

3. Mbeya=7,849,917 (5.6%)

4. Shinyanga incl.Simiyu=7,175,982 (5.1%)

5. Morogoro=6,716,296 (4.8%)

6. Arusha=6,562,356 (4.7%)

7. Tanga=6,548,355 (4.7%)

8. Kilimanjaro=6,298,586 (4.5%)

9. Geita=6,211,376 (4.4%)

10. Ruvuma=5,317,073 (3.8%)

MY TAKE: Nimefurahishwa na kuendelea kupungua kwa gap la kiuchumi kati ya Dar na Mikoa Mingine.Ukiangalia hapo utakuta mikoa 3 inayoifuatia Dar kwa pamoja imechangia zaidi kuliko Dar ingawa gap bado ni kubwa but natumai litazidi kupungua kadiri uwekezaji unavyokua mikoani na kufuta kabisa utegemezi wa uchumi kwa Mkoa wa Dar na ile dhana ya Dar ndio Tzn.

Pili nitoe pongezi kwa Mikoa ya Mwanza,Mbeya na Geita kwa kuendelea kufanya vizuri,japo inashangaza kuona mkoa kama Morogoro, Lindi, Ruvuma, Kagera, Njombe, Mtwara na Kigoma kushindwa kuchangia zaidi kwenye pato la Taifa maana mikoa hiyo ina kila kitu kinachoweza kuufanya kuongoza Kitafa. kama ardhi nzuri, mvua za kutosha, mifugo, madini, misitu bahari, maziwa nk

Kana kwamba haitoshi ifike mahala viongozi wa mikoa mingine wapewe malengo ya miaka 5, kwa sababau haiingii akilini kwamba zaidi ya mikoa 16 iliyobaki iko chini ya asilimia 3.5% ,sasa hapa si wanalishwa bure hawa. Kwa maelezo zaidi soma pdf hapa chini pg 48-54.

SOURCE-NATIONAL ACCOUNTS OF TANZANIA MAINLAND 2013-2019, SECOND EDITION IN THE REVISED GDP SERIES BASE YEAR 2015

CREDITS-National Bureau of Statistics, Ministry of Finance and Planning,November 2020.
Mkuu tuwekee na data za per capita. Hilo ndilo linaonyesha kipato cha mtu mmojammoja na hali halisi ya maisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom