ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,114
- 49,840
Kwa mujibu wa uchambuzi niliofanya kutumia taarifa za kikodi kutoka TRA(Tax Revenues Collections) Mwaka wa Fedha 2022/2023.,Nimebaini Mikoa 15 inayotoa Kodi nyingi zaidi kuchangia gurudumu la maisha.
Mikoa ambayo Ina Mapato makubwa ya TRA Kwa mwaka wa Fedha 2022/2023.
1. Dar=11,111.66
2. Arusha=661.67
3. Mwanza=269.75
4. Kilimanjaro=263.43
5. Dodoma=225.72
6. Tanga=215.10
7. Songwe=143.44
8. Mara=125.73
9. Kagera=113.16
10. Pwani=111.07
11. Morogoro=98.48
12. Mbeya=83.94
13. Iringa=69.12
14. Geita=55.06
15. Shinyanga=52.65
My Observation zangu ni:
-Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiongozwa na Mwanza imefanya vizuri sana japo total figures ni kidogo Sana.
-Figures ya Arusha imehusisha na takwimu za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
View: https://www.instagram.com/p/Cxu8PTToXyH/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
-Mikoa 11 ina makusanyo chini ya bil.50 na Kuna mingine eti mwaka mzima TRA inakusanya mapato yasiyozidi bil.10 eg. Katavi, Lindi & Simiyu.
My Take:
Juhudi za kufungua fursa za Uchumi ziendelee sambamba na kuimarisha ukusanyaji wa Kodi maana Kwa sehemu kubwa Tanzania haijatofautiana sana level za maendeleo ila gap ya kimapato ni kubwa sana mpaka unashangaa inakuaje.
Angalizo:
Kwa kuzingatia matakwa ya sheria ya takwimu,haya ni maoni yaliyotokana na uchambuzi binafsi hivyo sio takwimu rasmi.Mamlaka husika ambao ni TRA na NBS watatoa takwimu rasmi.
Figures in Million Tshs.
Chanzo.TRA