Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 801
- 540
Ndugu zangu, mie nashangaa huyu kiongozi wetu wa sisiemu ambaye ameshuhudia uozo na ubakaji wa democrasia ndani ya chama chake katika chaguzi ambazio zimeendeshwa kwa rushwa na ushirikina kwani imeelezwa kwamba wengine walivaa hilizi kulinda nafasi wanazoziomba katika jumuia za chama, na amewaacha wakaendelea na ushindi wao wa haramu anaitakia mema sisiemu, mimi nathani anataka kuingia katika Historia ya Rais aliyefiwa na chama chake. Ningekuwa mimi kwa gharama yoyote ningefuta chaguzi zote na kuanza upya.