Top 5 ya urais 2015

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu.

Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
6.Bernard Membe
 
kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa tanzania.

  1. dr w. Slaa
  2. mh. F. Mbowe
  3. mh. John magufuli
  4. mh. Edward lowassa
  5. mh. Tindu lissu

nb; masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

futa hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material..
 
Kwa jinsi nyufa zinavyozidi kuongezeka katika kajumba haka kanakoitwa Tanzania, ni ngumu sana mchagga, Mhaya na Mnyakyusa kushinda kinyang'anyiro cha urais nchi hii. Kuna chuki imejengeka kwa makabila haya matatu lakini hasa kwa wachagga ndio usiseme sijui chuki hii imetoka wapi ilhali Mwalimu Nyerere alijaribu sana kuhangaika na kimkakati na ubaguzi huu. Kwa hiyo kwenye hiyo list ondoa Freeman Mbowe!!
 
futa hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material..
Unaropoka kila post hpa kujiongezea posho lumumba kukashfu viongozi wa CDM bila ushahid naomba MODS mumuondoe huyu m2 kwn hachangii lolote la maana ni kashfa 2 ili kutekeleza maagizo ya waliom2ma
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

hapo kwenye red, sharti mojawapo la katiba ya nchi ni kuwa na angalau degree moja.
 
Kwa jinsi nyufa zinavyozidi kuongezeka katika kajumba haka kanakoitwa Tanzania, ni ngumu sana mchagga, Mhaya na Mnyakyusa kushinda kinyang'anyiro cha urais nchi hii. Kuna chuki imejengeka kwa makabila haya matatu lakini hasa kwa wachagga ndio usiseme sijui chuki hii imetoka wapi ilhali Mwalimu Nyerere alijaribu sana kuhangaika na kimkakati na ubaguzi huu. Kwa hiyo kwenye hiyo list ondoa Freeman Mbowe!!

Kuna wakati hata mimi niliamini hivyo... Na haikuwa kwenye uraisi tu, bali hata mambo mengine mfano kuoana na makabila mengine. But kwa sasa mambo yamebadilika ndugu yangu, tena yamebadilika sana...
 
Back
Top Bottom