Top 5 ya urais 2015

Top 5 ya urais 2015

Kwa jinsi nyufa zinavyozidi kuongezeka katika kajumba haka kanakoitwa Tanzania, ni ngumu sana mchagga, Mhaya na Mnyakyusa kushinda kinyang'anyiro cha urais nchi hii. Kuna chuki imejengeka kwa makabila haya matatu lakini hasa kwa wachagga ndio usiseme sijui chuki hii imetoka wapi ilhali Mwalimu Nyerere alijaribu sana kuhangaika na kimkakati na ubaguzi huu. Kwa hiyo kwenye hiyo list ondoa Freeman Mbowe!!

Utatuchukiaje wachaga wakati CDM Unayoipenda sisi ndio wenyewe? lazima tuongoze nchi hii,penda usipende."The World suffer a lot.Not because of Violence of bad People.But because of the silence of good People"
 
."The World suffer a lot.Not because of Violence of bad People.But because of the silence of good People"
 
tundu lisu na mbowe hawana uwezo wa kuongoza nchi kama hii
nchi kama hii inahitaji watu kama
1.DR.MAGUFULI
2.DR.MWAKYEMBE
3.COMRADE EDWARD LOWASSA
4.ZITTO KABWE
5.JANUARY MAKAMBA
6.SAMUEL SITA

zitto kabwe kwa sababu ni mwenzenu siyo, labda kwa tiketi ya nyinyiemi!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nadhani ni muhimu kwanza tuweke vipaumbele vikuu vitano halafu ndio tupime viongozi kutokana na misimamo yao juu ya vipaumbele vyetu kama wananchi;

1. Maadili ya uongozi, hasa ufisadi - jinsi gani atatatua tatizo lililopo sasa;
2. Muungano (mfumo unaotufaa...)
3. Katiba (msimamo juu ya nini kiwemo na nini kisiwemo, na kwanini...)
4. Itikadi Na Dira ya Nchi (Ubepari? Ujamaa? Mwananchi wa kawaida, hasa vijijini maisha yake yataboreshwa vipi...)
5. Sera ya mambo ya nje - Je, sera yetu ni ipi? Baada ya mwalimu kuondoka, hatuna sera zaidi ya kusafiri safiri na kwenda kutengeneza marafiki; Ni muhimu tukatazama (Mahusiano na WTO, WorldBank na IMF na jinsi gani atapigania tufaidike zaidi na bila upendeleo kwenye biashara ya kimataifa - (hivi sasa viongozi wetu wakisafiri nje hawaendi kupigania maslahi ya wakulima na kutafuta bei nzuri bali kwenda kula tu posho za vikao, shopping...),jinsi gani atatatua tatizo la madeni, jinsi gani ataimarisha economic diplomacy - na nchi gani na kwanini? Role of China, USA, Iran, Brazil, tofauti na sasa ambapo tumekuwa ni shamba la bibi,dampo la biadhaa duni za nje, uwanja wa kujaribia sera za kukuza uchumi...n.k

Tukiwapima wagombea wote kwa vigezo kama hivi na vingine vingi tu, ndio tutajua iwapo tumepata RAIS BORA au tumepata BORA RAIS
Otherwise Tundu Lissu for President? Nitakuwa mstari wa mbele kwenye kampeni kumpigania;

Nakuunga mkono kwa 100% mkuu.
 
Tunataka Rais ambaye hayuko tayari kuona watanzania wanageuzwa mazezeta na haogopi kulisemea hilo na anachukizwa na hilo. ZITO KABWE
 
Dr. Slaa is the best choice.Tindu Lissu muache aive kwanza kisiasa,ila namkubali.Hao wengine ni kuendeleza serikali ya kifisadi.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. Dr. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Magufuli ni Dr.
 
Ya kwangu list.
1. Asharose Migiro
2. Halima Mdee
3. Rose Kamili
4. Anne Makinda
5. Mshumbusi
 
Namba4 hafai kwakuwa sio mwaminifu na na ni mwizi mkubwa hapa nchini.
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
 
Masikini hawapendi matajiri...
vita dhidi ya wachaga haitofanikiwa kwani wachaga hawategemei siasa tu kuendesha maisha yao na kujipatia maendeleo
wana uwezo wa kuacha siasa na bado wakabaki kua mbele daima....elimu,kujituma n vision ndo siri yao...siasa wapo..elimu wapo....mapadre wanao...masista wanao....biashara ndo usiseme.....kila ofisi huwakosi kina mangi...mjambazi pia wapo...
wachaga ni zaidi ya siasa kuwazuia..ni kama Israel..wateule....jifunze toka kwao ...ila ukikaa kuwafitini...utazeeka ukiwaona mbele daima.....
Fitna si mtaji...be objective mjomba....
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom