Top 5 ya urais 2015

Top 5 ya urais 2015

Sharti nyingine awe fisadi. Vinginevyo, wawekezaji waliopo watapata shida.
 
1. Dr Slaa
2. Dr Slaa
3. Dr Slaa
4. Dr Slaa
5. Dr Slaa

Hizi panga pangua ndio tano bora za BAK

Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
 
hicho kipengele kitafutwa kwenye katiba mpya mzee, uchaguzi ujao tunatumia katiba mpya.

Never, never, never... tukitumia katiba mpya uchaguzi ujao nitakutafuta nikupe buku...
 
wa kwanza arudi kanisani kapora mke wamtu.akiwa rais atapora wengi zaidi,magufuli jazba,lowasa hata babayenu nyerere hamtaki mpaka kamwandikia kitabu yeye na malechela pia kasaini MOAKWA MANUFAA YA KANISA NA NCHI HII NIA YA WOTE.mbowe jazba siasa za ukabila,lisu jazba akiamua tuivamie nchi yoyote atavamia.hatutaki wote hawafai.
 
To be honest, Hon. Edward N. Lowassa ni 'golden candidate' kwa Watanzania 2015 kwa sababu ana uwezo usio na kifani wa uchapa kazi. Pia ana uwezo mkubwa wa ku-make bold decisions kwa manufaa ya taifa. Binafsi naamini Lowassa hana mpinzani katika urais 2015.
tatizo ni mgonjwa yule baba, muombee tu labda apone! ila kwa afya yake, ni ngumu kushika dola!
 
wa kwanza arudi kanisani kapora mke wamtu.akiwa rais atapora wengi zaidi,magufuli jazba,lowasa hata babayenu nyerere hamtaki mpaka kamwandikia kitabu yeye na malechela pia kasaini MOAKWA MANUFAA YA KANISA NA NCHI HII NIA YA WOTE.mbowe jazba siasa za ukabila,lisu jazba akiamua tuivamie nchi yoyote atavamia.hatutaki wote hawafai.
karibu jamvini! punguza jazba!
 
Nchi hii ina ugonjwa wa uchumi na utawala bora ajira afya uadilifu.mtu anaefaa ni profesa lipumba.atweka sawa uchumi.kuhusu utawala ataunda serikali ya umoja wa kitaifa,kutoka vyama aavyote,ajira na afya itakuja baada ya uchumi kukaa sawa kwakua na serikali ya umoja uadilifu ni automatic.mtu huyu kazisaidia chi nyingi kupitia umoja wa mataifa.kwa hiyo hao wote uliowataja watapewa majukumu ndani ya serikali.
kuliko kutawaliwa na huyo, ni bora kukaa bila RAIS! period!
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Kwasasa hili siyo swala la msingi na kama ikilazimia Dr.Slaa bado anafaa.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

6. Ridhiwan Kikwete
 
hapo kwenye red, sharti mojawapo la katiba ya nchi ni kuwa na angalau degree moja.

weka na ibara tuione,usije kuwa unasema tu katiba kwa kuwa umekaririshwa kuwa kila jambo litafanyika kikatiba,tuwekee ibara na sisi tuipitie mkuu.
 
tundu lisu na mbowe hawana uwezo wa kuongoza nchi kama hii
nchi kama hii inahitaji watu kama
1.DR.MAGUFULI
2.DR.MWAKYEMBE
3.COMRADE EDWARD LOWASSA
4.ZITTO KABWE
5.JANUARY MAKAMBA
6.SAMUEL SITA
 
Back
Top Bottom