Wakuu Mengi ana biashara gani?METL kajipaisha tuu hana chochote wakati Bakhresa ana viwanda malawi,rwanda,uganda,msumbiji
Zacharia yuko kwenye usafirishaji. Ana tanker trucks kama 300+ na malori
Mabilionea wanaojificha na vijisenti vyao huwaoni hapa. Mabilioneo wa kujionyesha kwenye matukio ya mlimani. Shenzi hao wanaficha hela kwa hofu tu, ni vizuri wajieweke wazi kwenye vyombo husika.
4. Reginald Mengi - 560 million us dollars,number 44 in Africa
3. Said Salim Bakhresa - 575 million us dollars, number 43 in Africa
2. Mohammed Dewji - 800 million us dollars,number 31 in Africa(Youngest richest African among top 50 African richest people)
1. Rostam Azizi - 0ne billion us dollars,number 26 in Africa
Source: Africa Ranking.
Ranking Interesting Facts About Africa
Sorry ni kwa mwaka 2014,nimekosea title, Moderator fanyieni marekebisho.