Top 4 richest people in Tanzania 2014

Top 4 richest people in Tanzania 2014

Uislamu tena? tafakari kabla ya kuandika, hao uliowataja sio waafrika wa rangi ni waafrika jina yaani ni waarabu na wahindi, so nitajie basi muislamu ngozi nyeusi hapo, utakua umevurugwa kabla ya kuanfika ndo ukaleta dhana ya udini hapa.

Takwimu sinajionesha wazi hapa hakuna haja maneno marefu ,angalia orodha ya Kuanzia hizi za hapa mamilionea wafanya biashara wa TZ nawengi wale waliohusika na kashfa ya ESCROW nasiku zote walaji rushwa na wazamishaji wa mashirika na mali za umma. Kuna watu hapa huwa ndio kazi yao kungiza udinina ubaguzi wa rangi kwenye kila mada mimi sio mdini wala mbaguzi na naamini watuwote wanastahili heshima na fursa sawa, kusudi langu hapa ni kuwasuta wadini nawabaguzi na kuwaambia muelekeo wao si wa haki wala ukweli.

Huwa nashangaahapa watu jinsi huwa wanakashifu waislamu na watanzania wasio weusi. Hawa watu waliotajwakila mmoja anajuwa ni watanzania lakini kuna watu hapa wenye chembe chembe zakibaguzi kwenye damu yao wanasema sio watanzania sababu sio weusi na kuna mmojakisha sema sio waafrika sababu sio weusi – sijui nani kamwambia mwafrika ni lazima awe mtu mweusi– soma historia nini chanzo cha neno Afrika - Mungu ibariki Tanzania naAfrika

Na hang over yangu na akili yangu ya asubuhi, ukweli unabaki hivyo, Mengi ndo tajiri ambaye ana asili ya Tanzania na ndie 'No. Moko'. HUTAKI, ACHA. Nigeria wanajivunia Dangote kama Mnigeria tajiri mwenye asili ya Nigeria. Pia usiwe pusssy, kwako 10mil US Dollar kwa mwaka ni ndogo? Cha muhimu ni hajashuka kwa 10mil Us dollar. Acha kulinganisha watu, wao wahindi/ waarabu sio wanaoweka standard. Poor you!

umenena mkuu, usiumize kichwa kuwajibu hao wanaowatetemekea waarabu na wahindi.
 
Kusema ukweli, Tajiri wa kwanza Tanzania ni Mengi. Hao wengine ni wahindi na waarabu, ni wakuja tu.

Mkuu hata wewe unaweza ukawa wa kuja tu,kuna makabila kama wabena,wachaga,waha,wamakonde na makabila mengi Tanzania mengi yao yamekuja katika tembeatembea ya kutafuta maitaji mbalimbali wakajikuta wako Tanzania,mtanzania halisi anaweza akawa mtindiga au mhadzabe wengne wote wakuja,kuwa mhindi au muarabu hakumfanyi mtu kuwa sio mtanzania,unajua wahind na waarabu walifika lini Tanzania?sasa unaposema sio watanzania unafikiri wao wanatoka nchi gani na wamezaliwa wapi?
 
Ungeweka Top 5 tu lazima jina langu lingejitokeza, haya bhana na roho mbaya yako!
 
Mkuu hata wewe unaweza ukawa wa kuja tu,kuna makabila kama wabena,wachaga,waha,wamakonde na makabila mengi Tanzania mengi yao yamekuja katika tembeatembea ya kutafuta maitaji mbalimbali wakajikuta wako Tanzania,mtanzania halisi anaweza akawa mtindiga au mhadzabe wengne wote wakuja,kuwa mhindi au muarabu hakumfanyi mtu kuwa sio mtanzania,unajua wahind na waarabu walifika lini Tanzania?sasa unaposema sio watanzania unafikiri wao wanatoka nchi gani na wamezaliwa wapi?

Umenena vema sana mtu wa Mungu.

Kuhusu wahamiaji wa kwanza Tanzania, kitabu Gervas Tatah Mlota (2010), The Ways of the Tribe kinaonesha ni waIraqw (wambulu) na ndugu zao waGorowa (wafiomi).
 
Mimi nawapa hongera maana wameweza ongeza hela walizokuwa nazo huko nyuma
 
Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise

Ndugu yangu bado unatambua dini za watu kwa kutizama majina yao na matendo yao kiasi wanayo yafanya hadharani kuwa adaa wanadamu?
Uislamu ni nini maana kuna watu we unadhani ni waislamu kumbe ata shetani anawaogopa.

ushauri wangu hapa duniani sidhani kama ni rahisi kuitambua dini ya mtu.maana tunawaona watu kwa majina yao na kukutana nao makanisani/misikitini ila nyuma ya pazia ni mashetani wakubwa.so dini isiwe prefernce yanapatajwa majina ya watu.wanadamu ni wa hovyo sanaa.mmi kwa sasa nalia na nafsi yangu ifike peponi.
 
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.

Na wewe na uharo wako una sh ngapi!?
 
Uislamu tena? tafakari kabla ya kuandika, hao uliowataja sio waafrika wa rangi ni waafrika jina yaani ni waarabu na wahindi, so nitajie basi muislamu ngozi nyeusi hapo, utakua umevurugwa kabla ya kuanfika ndo ukaleta dhana ya udini hapa.

wewe ndo kichaa, wakristo wa jf wanaamini waislam wa dunia nzima hawataki shule kazi ni kahawa na kushinda msikitini na wanasema hakuna muslim aliyegundua kitu chochote cha maendeleo,
 
Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongjeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.

Hata Nelson Mandela alikuwa akigombana na makaburu alipokuwa akiongoza harakati za kuwakomboa waafrika weusi wa Afrika ya kusini. Anachofanya mengi ni kutumia uwezo aliojaliwa na Mungu kutetea wanyonge; hapo tunaona manufaa ya utajiri wake.

Hao akina Dewji, Bakhresa na Rostam utajiri wao unamanufaa gani ya kijamii? Achilia mbali kodi kidogo wanayolipa? Dewji ni mbunge je amelifanyia nini taifa hili? Achilia mbali rushwa /shanga ya/za visima vya maji anavyotoa jimboni kwake?

Mengi keep up usitishwe na mafisadi na mamburula wanasifia mafisadi.
 
Mleta mada hakuweka matajiri ambao si wenye asili ya nchi husika ametoa orodha tu na kama ni uzawa hata huko marekani na ulaya baadhi matajiri wakubwa si we ye asili ya husika kwani kuna wahindi wayahudi n.k so mataifa mengi sasahivi wanataka wenye mitaji kuja kuwekeza sisi tuna ponda.tuache wivu,na. sisi tujifunze kwa walio fanikiwa

That is the point...Uzawa my foot...
Nchi haiwezi endelea kwa kuwa wabaguzi...we have to be proud na yeyote anayeitwa mtanzania tajiri no matter ni wa asili gani...mwisho wa siku tunachotaka ni kodi na ajira...

Watu wanatumia neno uzawa vibaya kutafuta upendeleo ambao hauna msaada kwa mtanzania wa kawaida (zaid ya familia zao)...
 
wewe ndo kichaa, wakristo wa jf wanaamini waislam wa dunia nzima hawataki shule kazi ni kahawa na kushinda msikitini na wanasema hakuna muslim aliyegundua kitu chochote cha maendeleo,

Uchambuzi kwa kigezo cha dini, ubaguzi wa kidini, udini kwa manufaa ya nani great thinker?
 
Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.

Bahressa na maviwanda yake yote kaongeza only 25M iweje Dewji aongeze 200M?? Huu ni uongo mtupu
 
Fikiria hao wazungu wa South Africa wangerudi kwao hiyo nchi ingekuwaje kama si kufanana na jirani yake Zimbabwe????

Hivi mnajua kuwa wachina wa Malaysia ndio wameifanya Malaysia kuwa tajiri na si Wamalay?????

Back
Top Bottom