Top 4 richest people in Tanzania 2014

Top 4 richest people in Tanzania 2014

4. Reginald Mengi - 560 million us dollars,number 44 in Africa

3. Said Salim Bakhresa - 575 million us dollars, number 43 in Africa

2. Mohammed Dewji - 800 million us dollars,number 31 in Africa(Youngest richest African among top 50 African richest people)

1. Rostam Azizi - 0ne billion us dollars,number 26 in Africa

Source: Africa Ranking.
Ranking Interesting Facts About Africa

Sorry ni kwa mwaka 2014,nimekosea title, Moderator fanyieni marekebisho.

Kusema ukweli, Tajiri wa kwanza Tanzania ni Mengi. Hao wengine ni wahindi na waarabu, ni wakuja tu.
 
Last edited by a moderator:
2013 alikua sawa na Dewji sahv Mo yuko mbali sana na anaongeza mkwanja kwa kasi kubwa

Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.
 
Uislamu tena? tafakari kabla ya kuandika, hao uliowataja sio waafrika wa rangi ni waafrika jina yaani ni waarabu na wahindi, so nitajie basi muislamu ngozi nyeusi hapo, utakua umevurugwa kabla ya kuanfika ndo ukaleta dhana ya udini hapa.

Mwingine Ali Mafuruki
 
Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise

Hao watatu ni wa Dubai na Delhi, wamekuja kuchuma tu hapa Tz.
 
Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise

Thread haijazungumzia uislam, any way hao ni waarabu wa kislam.
 
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.

Wewe usiyepiga majungu ni wa ngapi?
 
Number 6 is bampami USD 555 Million..
 
Last edited by a moderator:
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.

mengi mr. Mpua
 
Mawazo yako tu.lakini hao ni waarabu ambao mtandao wao ni mkubwa sana
 
Je hizi ni cash on hand au ni pamoja na mali zao?
 
Hang over mbaya sana,ukichanganya na akili za asubui inakua hatari zaidi.

Na hang over yangu na akili yangu ya asubuhi, ukweli unabaki hivyo, Mengi ndo tajiri ambaye ana asili ya Tanzania na ndie 'No. Moko'. HUTAKI, ACHA. Nigeria wanajivunia Dangote kama Mnigeria tajiri mwenye asili ya Nigeria. Pia usiwe pusssy, kwako 10mil US Dollar kwa mwaka ni ndogo? Cha muhimu ni hajashuka kwa 10mil Us dollar. Acha kulinganisha watu, wao wahindi/ waarabu sio wanaoweka standard. Poor you!
 
Mh haya dunia yao ila woote tutakua hari moja Kwa mwenyewe
 
Yani hajafanya kitu,takwimu za mwaka 2013 zinaonyesha alikua na dola 550 milioni za marekani,akiwa sawa na Bakhresa akimtangulia Dewji,mwaka umeisha kaongeza only 10 million us dollars wakati Bakhresa kaongeza 25,Dewji kaongeza zaidi ya 200 milion us dollars.

Amekalia majungu,umbea,chuki,roho mbaya,ugomvi na wanasiasa. Yeye mwaka hauishi hajagombana na mtu,eiza mpinzani wake kibiashara au mwanasiasa.

Hovyo sana.

Hajafanya kitu na bado unakubali kuwa kaongeza 10mil US Dollar! 'Job true true!'
 
Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise

Ni waislamu wenye asili ya Asia...km ni kujivunia basi jivunie kwa Reginald Mengi mwenye ngozi km yaki...siku zote hawa wahindi wanasema sisi hatuwezi kuwa na hela na bado ww uko proud nao kisa ni waislam wenzio,..badilika
 
Mleta mada hakuweka matajiri ambao si wenye asili ya nchi husika ametoa orodha tu na kama ni uzawa hata huko marekani na ulaya baadhi matajiri wakubwa si we ye asili ya husika kwani kuna wahindi wayahudi n.k so mataifa mengi sasahivi wanataka wenye mitaji kuja kuwekeza sisi tuna ponda.tuache wivu,na. sisi tujifunze kwa walio fanikiwa
 
Huyu ndugu sijui ni wa ngapi kwenye list hii, naona hata kwenye post yangu kadandia tu kisa nimemsifu Mengi kama tajiri ktk list hiyo kama mtanzania kwenye asili ya Tz ukilinganisha na hao wengine. Kani-mind, wivu mbaya sana.

Hao watatu waliotajwa ukiacha Mzee Mengi ni wanauza dawa za kulevya, deal za kifisadi, bakhresa anaingiza sukari anazoita za viwandani anauzia watu mtaani
 
Back
Top Bottom