stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,216
Fanyia research hayo majina yako utagundua pia wapo humo halafu utupe mrejesho kama wenzako walivyofanya.
Last edited by a moderator:
Fanyia research hayo majina yako utagundua pia wapo humo halafu utupe mrejesho kama wenzako walivyofanya.
Sawa mwenyekiti wa tume ya usimamizi.Nashukuru mama, najua wewe great thinker ndio maana nilikuita unisaidie kujibu.
Woman is that a threat?Teh me Nipo hapa na kichinjio, asipomeet vigezo namkata tuuu
I bet he does have 'those rights', no?
![]()
Noooo he daznt!!
Sawa mwenyekiti wa tume ya usimamizi.
Angalizo limepokelewa.
Linachukuliwa kama changamoto.
Haya, Dondosha taratibu form zinapatikana wapi? kwako ama Jimboni?
Pili, Kama mwenyekiti mkasimiwa,
Unayo kazi na jukumu la kulielekeza Jimbo kuwa maendelea hayaji kwa Pupa hivyo,
Jimbo bado ni changa hili.
Toka lini Katavi ikashindana na Kinondoni?
Umeona kiunoni lakini?
Unawezaje kuota ukiwa ungali macho mamito?Hili jimbo halisubiri maendeleo, linataka maendeleo ya ghafla, hayo ya kusubiri mpelekee lowasa.
Unawezaje kuota ukiwa ungali macho mamito?Hili jimbo halisubiri maendeleo, linataka maendeleo ya ghafla, hayo ya kusubiri mpelekee lowasa.
That aint enough!! Until you put a ring on it, you hv no right to claim me, now you get it? kwahiyo i'll be single until then.
Unawezaje kuota ukiwa ungali macho mamito?
Najua humaanishi.
Goes out to all brothers making moves. Y'all already know what it takes.
Ngoja kwanza boss, inakuwaje wewe mwanaume unaona mvuto kwenye majina ya kiume??