kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 326
Katika Afrika ni:
1. Mwita
2. Marwa
3. Chacha
4. Bhoke
4. Wambura
1. Mwita
2. Marwa
3. Chacha
4. Bhoke
4. Wambura
sasa mbona tushaanza kudangany'ana jamani, yani wewe na urembo wote huo uniambie we singo geli? weniambie tu kama tupo wengi kama utitiri wa siafu.worldboss usipate taabu mie huwa single daima, until you hv rights to claim me.
sasa mbona tushaanza kudangany'ana jamani, yani wewe na urembo wote huo uniambie we singo geli? weniambie tu kama tupo wengi kama utitiri wa siafu.
Bila shaka basi mojawapo ni jina langu,Hahahaaaa!! Hebu soma upya nimeandika "majina" sio watu wanaoitwa hayo majina, hope umenielewa sasa.
Heaven Sent unaweza kunijibia huyu mtu tafadhali?Bila shaka basi mojawapo ni jina langu,
Jongea basi 'Pande za Bustani ya wazi mjini PM ya JF' ili nizindue rasmi
Kampeni za kulinyakua jimbo la Huba lako adhimu.
According to a recent study by Siteopia.com, volunteers were asked what kind of names they associated with people being good spouses.
Well, Don't hate the player.....
Heaven Sent unaweza kunijibia huyu mtu tafadhali?
Hahaha watu na nyota zenuuuu. Jamani dalalitz chukua tu form utangaze nia. Ila make sure wallet yako ni ndefu na nene. Mpambano ni mkali sana maana watangaza nia Mpo wengiiii
We wasiwasi wako nini sasa? Mwenye kisu kikali ndio mla nyama, we jua niko single hayo mengine niachie mwenyewe, kazi ni kwako.
haya bibie nimekuelewa, subiri nikatafute pesa sasa.
Teh me Nipo hapa na kichinjio, asipomeet vigezo namkata tuuuNashukuru mama, najua wewe great thinker ndio maana nilikuita unisaidie kujibu.
Hahahha yule atawakata tu wote ili ukose kabisa, si Unajua bado anakupenda pendaHahahaaaaa nakuaminia mama, Eli79 atakusaidia ila ana fitna na mie yule hachelewi kunipa kimeo.
Hahahha yule atawakata tu wote ili ukose kabisa, si Unajua bado anakupenda penda
Hahahha yule atawakata tu wote ili ukose kabisa, si Unajua bado anakupenda penda