Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,394
Nahamishia upendo wangu wa agape kwako Heaven Sent, naona huyu atoto hachoki kutupanga mafungu. Naomba unipokee babe ake...
Toooobaaaaaa!!
Cc everlenk
Last edited by a moderator:
Nahamishia upendo wangu wa agape kwako Heaven Sent, naona huyu atoto hachoki kutupanga mafungu. Naomba unipokee babe ake...
Jioni nitakuja kukusomea Ile post ili tuelewane. Ole wako usiseme asante!!
Post ipi tena ex darling?
Aaah wewe unadhani nadanganyika sasa. Sitaki kuwa mchepuko wa mtu, siku ukiachana na yule mnyaki mwenzangu ndo unitafute. Kisa cha kuiba mume wa mtu hata kukuflaunt wasap na insta nishindwe loooooohNahamishia upendo wangu wa agape kwako Heaven Sent, naona huyu atoto hachoki kutupanga mafungu. Naomba unipokee babe ake...
Uliyonikwoti jana, Ile post inabidi uibandike chumbani, uisome asubuhi na jioni...then uifanyie kazi..
Hivi nani kakutuma uifanye hiyo kazi? Babe yake everlenk unaona m honganishi huyu..
Aaah wewe unadhani nadanganyika sasa. Sitaki kuwa mchepuko wa mtu, siku ukiachana na yule mnyaki mwenzangu ndo unitafute. Kisa cha kuiba mume wa mtu hata kukuflaunt wasap na insta nishindwe looooooh
Mimi huyu huyu nilikukoti?
Teh teh teh, mie nilikuwa namsalimia tu.
Hahahahah kwa hiyo wewe huwa unaambiwa "YES" tu? Basi ngoja nizidishe maringo ya kinyakiMara ya kwanza kidume nakataliwa live, khaaa. Unaanzaje kunikataa yani, I haven't given up just yet!
Kama tusi mwenyewe mara mia.
Evelyn Salt umekuhonga nini huyu mpaka umpigie promo?
hey yo no puedo ver mi nombre en
ella por qué.
mie huwa single daima, until you hv rights to claim me.
According to a recent study by Siteopia.com, volunteers were asked what kind of names they associated with people being good spouses.
![]()
Well, Don't hate the player.....
Jajaja. Como se llama, Señor?
upuuzi