CuteJennie
Member
- Aug 24, 2015
- 14
- 5
Mmmh na wew!
mbona na hapa kuna jina langu jengine atoto chrissleon
Hahaa naona atoto umemshindwa unataka kuamia kwa Cute jennie
Ila sio siri kati ya majina ninayoyapenda ni Chriss.
kwaiyo ndoushafungua kufuri la moyo wako niingie au?
mbona na hapa kuna jina langu jengine atoto chrissleon
Kama unampenda mtu kutokana na jina.
Then a lot about you should be questionable.
Mmmmh!! Yaani hilo jina naomba tu nisiongee, halipo hata kwenye top 100 yangu, we jitahidi tu na miamala chriss litakuhusu.
Basi subiri nikapige tenda mtaani mambo ya kijipa tu narudi kuendelea na mtongozo wangu, ila tafadhali naomba kilometer zisizidi zaidi ya hapa we kwa mdaa huu kuwasingle tu nikikuta kilometer zaidi ya hizi billion 20, UGOMVI.
dah hakutaki jaman atoto wang,,
za kuambiw changany na zako
We umeshaoa mara ngapi hadi sasa?
Paulo Sergio De Souz I see you, utakua zaidi ya husband material basi lol
Mechi ya man u na brugge Kuna mchezaji anaitwa...... Bolongoli Mbombo... Huyo unamzungumziaje?
Riwa simo!?
Paulo umeleta uzi huu kwakuwa na wewe umo? Sijawahi date hayo majina kabisaaaa, yaani pamoja na ile list ndeeeeeef eti hayo majina hayapo!!!
Mapokeo ya kimagharibi yakikolea Ni utamwa. Kwahiyo majina ya kiswahili au ya makabila hayamake good husbands.!?