Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,466
- 159,823
sasa kama hali yenyewe ndo hii nikichacha home si kunageuka bujumbura?, eti bibie
Na kwanini uchache?
sasa kama hali yenyewe ndo hii nikichacha home si kunageuka bujumbura?, eti bibie
siunajua tena wakina obama wakija kuchukua mafuta yangu iraq kule hari inakuwaga tete kidogo ila sio sana ,tunaweza piga maharage wiki mbili then mrenda wiki kadhaa ivi.apo vipi? apo sawa?@by chrissNa kwanini uchache?
kwaiyo nikianza kujiita saivi sera zangu azikubaliki? jamani atoto nione huruma mimi chriss
ila mkuu siunajua umoja ni nguvu utengano ni dhaifu,sasa wewe inabidi unisaidie kwa huyu mlimbwende minaamini nampata ukinisaidia ukizingatia majina yetu yana nguvu ya ziada kwakekwanza mpaka hapo ushapoteza sifa, wenye majina yetu huwa hatu bembelezagi muulize vizuri atoto atakuambia alafu wanavyo jua kuita ukiingia tu kazini asubuhi utasikia "Hi chriss ! ila nawapongeza wanajua kuliita kiufundi.
ila mkuu siunajua umoja ni nguvu utengano ni dhaifu,sasa wewe inabidi unisaidie kwa huyu mlimbwende minaamini nampata ukinisaidia ukizingatia majina yetu yana nguvu ya ziada kwake
tatizo roho inasita maana uyu bidada yeye pesa mbele,sasa minaona kama atantoa roho yangu ivi...ila subiri niingie na gia ya kuoa labda ataupokea moyo wangu.Hahaaa! Mimi huko simo we chakarika tu mkuu kwanza yeye mwenyewe kasha kwambia atakufikiria kama.....
Sijui unachochelewa kwenda PM ni nini hiyo ndiyo madhara ya kujipachika jina ambalo sio lako. Ila mkuu worldboss pongezi zako hatua uliyofkia ni yakukimbia sio mwendo wa kutambaa tena kama unao enda nao sasa hivi hebu funga speed gavna Haraka.
Cc: atoto.
Mmmh haikuanzia since then itanzishaje now?
tatizo roho inasita maana uyu bidada yeye pesa mbele,sasa minaona kama atantoa roho yangu ivi...ila subiri niingie na gia ya kuoa labda ataupokea moyo wangu.
siunajua tena wakina obama wakija kuchukua mafuta yangu iraq kule hari inakuwaga tete kidogo ila sio sana ,tunaweza piga maharage wiki mbili then mrenda wiki kadhaa ivi.apo vipi? apo sawa?@by chriss
kwanza mpaka hapo ushapoteza sifa, wenye majina yetu huwa hatu bembelezagi muulize vizuri atoto atakuambia alafu wanavyo jua kuita ukiingia tu kazini asubuhi utasikia "Hi chriss! ila nawapongeza wanajua kuliita kiufundi.
Hahaaa! Mimi huko simo we chakarika tu mkuu kwanza yeye mwenyewe kasha kwambia atakufikiria kama.....
Sijui unachochelewa kwenda PM ni nini ila hayo ndiyo madhara ya kujipachika jina ambalo sio lako. Ila mkuu worldboss pongezi zako hatua uliyofkia ni yakukimbia sio mwendo wa kutambaa tena kama unao enda nao sasa hivi hebu funga speed gavna Haraka.
Cc: atoto.
tatizo roho inasita maana uyu bidada yeye pesa mbele,sasa minaona kama atantoa roho yangu ivi...ila subiri niingie na gia ya kuoa labda ataupokea moyo wangu.
Ndio itaanza now huwa maranyingi sisi sio watu wa maneno matupu kama hao ulio kwisha date nao ndio maana tumekuwa Mahusband material.
Hahaa mkuu kama mihamara haisomi usijisumbue kupoteza mda wako ila ngoja nikusaidie kumuamsha umweleze inaweza ikawa bahati yako.
Wee atoto embu hamka umjibu mwenzako alafu ndio ulale.
Kwa hiyo wenye majina ya kibantu na kiafrika siyo kina husband materials eh?!
kwaiyo ndoushafungua kufuri la moyo wako niingie au?Hahahaaaa uwiii eti by chriss, mlenda naupenda nitauvumilia ila sio maharage plz, alafu uvumilivu usizidi mwezi na kuwe na dalili za big money ahead.
Mmmh honey wangu bonge ya beeest hubby anaitwa emma!...huu inamaana dulla wamemkata?
Mmmh honey wangu bonge ya beeest hubby anaitwa emma!...huu inamaana dulla wamemkata?