Top 10 'Husband Material' Names

Top 10 'Husband Material' Names

Hahahaaa!! Sio la kujiita ilitakiwa uwe unaitwa tangu utotoni ndio inanoga.

kwaiyo nikianza kujiita saivi sera zangu azikubaliki? jamani atoto nione huruma mimi chriss
 
kwaiyo nikianza kujiita saivi sera zangu azikubaliki? jamani atoto nione huruma mimi chriss

Hahahaaaaa! Umenifanya nicheke!!
Niweza kukufikiria kama miamala iko vizuri, si unajua tena!!
 
Hahahaaaaa! Umenifanya nicheke!!
Niweza kukufikiria kama miamala iko vizuri, si unajua tena!!

yani kwenye swala hilo usihofu bibie, kwanza jiandAe kushika ATm card yangu
 
Back
Top Bottom