Hakuna uthibitisho wa kisayansi. Hizo tabia hazina uhusiano na uzuri ama ubaya wa mwanamke.
kutojiamini bp kuongezeka,
muda wote utakuwa na presha ya kuibiwa,
utakuwa na madeni mengi,
muda wowote simu inabidi iwe na vocha aki-bp lazima umpigie saa hiyo hiyo!
utakuwa ni mtu wa kuomba msamaha muda wote ,
mwanamuke muzuri lazima uwe na mahela