Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

ila wanawake wengi wazuri...huwa naona kama HAWAJITAMBUI vile...
 
Dawa mbona ipo na ni ndogo sana, ukiona usumbufu unazidi unamtungisha mimba 2 za fasta ktk kipindi cha miaka 3, teh teh teh..
 
hivi jamani unaweza ukawa na mpnz wako halafu ukamuona mbaya? mi najua mapenzi upofuuuu!!!
 
Wana jf, nawaletea athari za kuwa na dem bomba kama ifuatavyo:-
1. Utakua na wivu
2. Unaweza gombana na wanaume wanaomfukuzia,
3. Atakuendesha akijijua kama yeye ni mzuri (atakufanya kama bushoke)
4. Utasemwa na watu sana kama hamuendani mf, watasema umetumia kizizi, kakupenda kwa ajili ya fedha, akili nk

Wanaume wenzangu kuweni makini na wanawake wazuri.

hujiamini wewe
 
hawajitambui kivipi?
......wengi sio wote au tuseme ambao nimewaona...ni watu wasio tulia( kumaintain ndoa au relationship inakuwa ngumu-may be labda kwa vile wanatongozwa sana hence kuwa na machaguo mengi na kushidwa kuconcetrate na chaguo moja), sioni kama wanajituma sana kuanzia kwenye kusoma, kutafuta maisha n all that-may be consciously kwa uzuri wao wanaona elimu na maisha mazuri watavipata kirahisi coz wao wapo bomba ni rahisi kuhogwa na kupapatikiwa(im talking real things in our society) ,kutokana na haya mambo na mengine mengi hua naona maisha yao nanakwenda tu....umri unasogea wanakua hawaja-setle kimaisha(sio hela -ila kijamii zaidi-kama kuwa ndoa imara na nini?) kama wanawake wengine na mambo mengine-embu chunguza mimi wachache naoonana nao unakuta yupo may be ana mtotot au watoto-baba wa motto hayupo au hana habari-KWA UJUMLA HAWAJITAMBUI
 
Wana jf, nawaletea athari za kuwa na dem bomba kama ifuatavyo:-
1. Utakua na wivu
2. Unaweza gombana na wanaume wanaomfukuzia,
3. Atakuendesha akijijua kama yeye ni mzuri (atakufanya kama bushoke)
4. Utasemwa na watu sana kama hamuendani mf, watasema umetumia kizizi, kakupenda kwa ajili ya fedha, akili nk

Wanaume wenzangu kuweni makini na wanawake wazuri.
Define mzuri
 
lucky dube aliimba kwenye wimbo uitwao its not easy akasema 'beautiful woman is another man's play thing'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom