Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Waone mnawaza kumgegeda mwanamke tu kwani na nyie si mnatumika kwanza hizo dushelele si chuma kuwa zinachuna mda mwingine mtupumzishe jamani.
Hahahaha wewe kugegeda kuna raha yake ukikutana mgegedaji mzuri ndio maana watu wapenda
 
kutojiamini bp kuongezeka, muda wote utakuwa na presha ya kuibiwa, utakuwa na madeni mengi, muda wowote simu inabidi iwe na vocha aki-bp lazima umpigie saa hiyo hiyo! utakuwa ni mtu wa kuomba msamaha muda wote ,
hii nikweli kabisa
 
Wana jf, nawaletea athari za kuwa na dem bomba kama ifuatavyo:-
1. Utakua na wivu
2. Unaweza gombana na wanaume wanaomfukuzia,
3. Atakuendesha akijijua kama yeye ni mzuri (atakufanya kama bushoke)
4. Utasemwa na watu sana kama hamuendani mf, watasema umetumia kizizi, kakupenda kwa ajili ya fedha, akili nk

Wanaume wenzangu kuweni makini na wanawake wazuri.
kwani uzuri wa sura unaongeza utility mkiwa mnapeana nanhii ... taam , hizo ni fikra potovu tu
 
Beauty is the combination of appearence
A%20S%20576.gif
, attitude:yell: and behaviour:embarassed2:. So ukiangali sura huo ni ulimbukeni
 
most of your arguement based on fallacy
 
MWANAUME hawezi kuwa na mawazo ya Kivulana kama yako
'
Nenda kamuulize babu yako atakuambia mwanamke mzuri yupi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom