Top 10 Airliners for 2016 - Hongera ATC!

Top 10 Airliners for 2016 - Hongera ATC!

Nitakayoianzisha itaingia top 10 miaka 10 toka kuanzishwa.
 
ATC wamejitahidi hata hivyo....haya tusimame kwa dakika moja tuwapigie makofi (kwa...kwa...kwa...)
 
1. Emirates
2. Qatar Airways
3. Singapore Airlines
4. Cathay Pacific
5. ANA All Nippon Airways
6. Etihad Airways
7. Turkish Airlines
8. EVA Air
9. Qantas Airways
10. Lufthansa
....ATC
SOURCE: WORLD AIRLINE AWARDS | the Passengers Choice Awards


Middle East na Asia wametawala sana

hapo nawakubali Singapore Airlines na washkaji zangu wa Hong Kong Cathay Pacific

nina wasiwasi na ANA kama walistahili kuna siku nilijuta anyway hongera zao
 
Wakiendelea kuweka wanasiasa na maswahiba wao wasio jua aviation ATC itaendelea kupumzika huko iliko hatakama utainunua ndege ishirini mpya
 
Hadi raha. Sasa tuwatie moyo vijana wasome sayansi waachane na mipira ya Ulaya
 
Back
Top Bottom