Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wazungu hawana longo longoMiddle East na Asia wametawala sana
hapo nawakubali Singapore Airlines na washkaji zangu wa Hong Kong Cathay Pacific
nina wasiwasi na ANA kama walistahili kuna siku nilijuta anyway hongera zao