Tooth pick

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Baada ya mlo wa jioni kwenye hotel moja maarufu mrembo mmoja wa kitongoji cha sinza akapayuka kwa sauti 'I want to speak' watu wote kimya wakamsikilliza kwamakini kumbe mwenzao alitaka kusema I want tooth pick waalikwa wote walibaki hoi walipogundua mrembo alimaanisha nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom