Too much Breaking News | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Too much Breaking News

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Feb 27, 2008.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  WanaJF,

  Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvi kinaonekana kama breaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya magazeti ya jioni tupunguze kidogo kuvileta.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nadhani Kamanda amesoma hii, anakuja na copy paste vihabari havina kichwa wala miguu...namshukuru ameelewa najua ni ugeni jamvini
   
 3. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwakweli no offense but im slowly beginning to loose interest, MOD's mpo wapi? tukiwatumia message kusema kuna too many random threads zisizo na kichwa wala mguu mnasema freedom of speech/maoni..and there i was thinking JamboForums was about constructive criticism (hoja hujibiwa kwa hoja anyone??) kuna watu kama Dar-es-salaam, Kamanda..either copying and pasting from ippmedia or elsewher or just random propaganda (Comments like ahsante JK kwa kazi nzuri?? lol nadhani kazi ya kupongeza serikali tunakiachia chama tawala..we are here to analyse na kukosoa matendo mbalimbali ya serikali ambayo end of the day affect us all.. tutaisifu pale inapobidi so far hiyo occasion haijafika !! watu wameiba sasa tunasikia habari hela zinarudishwa..zinarudishwa bila watu kupelekwa mahakamani?? na watu wanasifu hizi actions pls)..inaboa sasa..yani ukiangalia new posts 99% hana lolote jipya..Mod's no offense but get serious..
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Feb 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mhhh, tupo... tupo kabisa.... Jeuri ya...!? Bado sioni kosa kubwa. Ni kuelekezana tuu
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Kwi kwi kwi!
  Wewe kweli ulipikwa katika chipukizi!
  Umesahau kumalizia hiki kibwagizo "Yeeeba waah!
  You made my day!
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nadhani tunatakiwa kufinya uhuru kidogo ili kuhakikisha tuna-include jamii nzima ya watanzania kwenye hili jamvi, Kuna watu hawana muda mwingi wa kuchambua mchele na pumba, hivyo ni vyema tujitahidi mchele wetu uwe kidogo kama wa Mbeya vile...


  Jinsi tunavyoifanya forum hii iwe makini ndivyo mambo mengine mazuri yataletwa hapa kabla ya kupelekwa kwenye chombo kingine chochote kile cha habari!

  Hivyo basi, tuwe na mkakati wa kufanya utani uliozidi kipimo au mzaha uliozidi kipimo upungue, ili Wawakilishi wetu (Wabunge,madiwani,masheha, wawakilishi kwa huku kwetu Tanzania visiwani) wapende kuja humu kupata maoni ya wananchi kwa urahisi na kwa ufasaha.

  Hivi JF member utajisikia je siku moja "Mbunge/mwakilishu anasemama pale Dodoma/Unguja anasema, ... Kutokana maoni ya ya Mtandao wa Watanzania unaitwa Jambo Forum, mheshimiwa spika... wanasemaa .... na Mh. Spika wewe ni shaidi kwamba kila lililoibuliwa na JF limekuwa jambo makini na kwa kweli limesaidia kujenga ujasiri wa kujadili mambo katika taifa letu....) ... makofi na vigelegele kutoka kwa wabunge ... pwa pwa pwa....

  Pia ushauri mwingine wakati ukianzisha thread angalau jifanye wewe mwanzilishaji hoja kuwa kama moderator wa hoja yako ili kuwaweka sawa wenzako warudi kwenye mjadala uliokusudia... kwa kufanya hivyo tunatendea haki wenzetu walio na muda mfupi wa kupitia humu, na kwa taifa letu wote.

  Si kila kitu kinatakiwa kufanywa na moderator au administrators wa JF....

  Heshima Mbele wanaJF
   
 7. Pope

  Pope Senior Member

  #7
  Feb 28, 2008
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna News na Issues naona bora tukate Issues hapa na news ziwe kwa ajili ya kutengeneza Issues,i mean zitumike kujenga hoja!! sio una copy na ku paste humu laa tupe link tukaisome huko!!
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  jamani bora ziwekwe habari kamili sio link wengine baadhi ya link hazifunguki.

  pia habari kutoka magazetini sio mbaya kuwepo na zinatusaidia sana ktk kuunda hoja na kuauthenticate hoja zetu.


  tuache hizo
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lakini ukumbuke tunavunja sheria wote wale wanao copy right kwenye site zao... angalia chini...

  Tunataka JF ifanye kazi judiciarily.

  Mfano huu hapa http://www.ippmedia.com/ipp/content/copyright.html

  Sehemu yao moja inasema hivi...
  Material may not be copied, reproduced, republished, downloaded, posted, broadcast or transmitted in any way except for your own personal non-commercial home use. Any other use requires the prior written permission of the IPPMEDIA.COM . You agree not to adapt, alter or create a derivative work from any of the material contained in this site or use it for any other purpose other than for your personal non-commercial use. You agree to use this site only for lawful purposes, and in a manner that does not infringe the rights of, or restrict or inhibit the use and enjoyment of this site by any third party. Such restriction or inhibition includes, without limitation, conduct which is unlawful, or which may harass or cause distress or inconvenience to any person and the transmission of obscene or offensive content or disruption of normal flow of dialogue within this site.

  Lakini ku_andika kidogo alafu uka-redirect kwao... inaruhusiwa...
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sina hakika na elimu yako, ila nnaamini unaelewa kuquote habari na kutaja source hakuna athari na copy right.

  kosa kufanya kazi ya mwengine ni yako.

  kwa hiyo hapo hakuna kosa
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Naona kuna waalimu wengi hapa JF... Iwapo mtu/mjumbe akipongeza serikali wewe kinakuwashia nini?
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Pointi muhimu kabisa.
  Kutaja chanzo cha habari (kama wengi tunavyofanya hapa JF) ndio uungwana wenyewe na inaonyesha heshima kwa haki za wenzako.
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kasheshe kwa hili uko nami meli moja .Viji habari vingine viacheni nje na tuendelee na habari hapa si kosa kuviacha hivyo.
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mara ngapi tume-copiwa vitu juu kwa juu hapa!!! alafu nakuuliza moja ya selling tools ya site mbalimbali huku duniani ni count of number of visitors...

  Sasa uki-copy kazi ya mtu... bila hata kuweka link... unamkosesha visitors....

  Hili nalo haulioni mtu wa pwani mwenzangu,... by the way si uje basi hapa mwanakwerekwe, nyuma ya bomba la maji machafu, opposite na garage... kando ya gari mbovu lile bedford. tuongee kidogo...
   
 15. Pope

  Pope Senior Member

  #15
  Feb 28, 2008
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe lakini ninachosema News iwe chachu ya wewe Kujenga Hoja na si lazima kuweka kila kitu, copy u paste then unaonyesha ukomavu kwa kuichambua na kuijengea hoja ili tuichambue, sio una kwenda www.Majira.co.tz una copy news yote kisha una funga usemi na kukaa kimya then what?

  Wabillah Tawfiq
   
 16. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kibunango..
  mjumbe ata wewe ukisifu serikali ntakuona mpuuuzi tuu (Ignorant etc etc..na sita kutofautisha na wale wanaotoa kura kisa pilau na elfu 50)...(wakati kuna ndugu zako ambao hata sio wa mbali, hawajasoma,hawana umeme, dawa mahospitalini, hawana kazi, the list goes on...
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kumbuka kuangalia na upande wa pili wa shilingi, otherwise na wewe unaweza kuonekana kuwa ni mpuuzi tu
   
 18. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I recall umeniuliza nini 'kinaniwasha'??..sasa u talking about upande wa pili wa shilling..'the irony'!!!Rudi shule kaka ujifunze to stick to your argument or just stop making random statements..
   
Loading...