Too much Breaking News

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
WanaJF,

Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvi kinaonekana kama breaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya magazeti ya jioni tupunguze kidogo kuvileta.
 
WanaJF,

Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvu kinaonekana kama reaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya magazeti ya jioni tupunguze kidogo kuvileta.

Nadhani Kamanda amesoma hii, anakuja na copy paste vihabari havina kichwa wala miguu...namshukuru ameelewa najua ni ugeni jamvini
 
Kwakweli no offense but im slowly beginning to loose interest, MOD's mpo wapi? tukiwatumia message kusema kuna too many random threads zisizo na kichwa wala mguu mnasema freedom of speech/maoni..and there i was thinking JamboForums was about constructive criticism (hoja hujibiwa kwa hoja anyone??) kuna watu kama Dar-es-salaam, Kamanda..either copying and pasting from ippmedia or elsewher or just random propaganda (Comments like ahsante JK kwa kazi nzuri?? lol nadhani kazi ya kupongeza serikali tunakiachia chama tawala..we are here to analyse na kukosoa matendo mbalimbali ya serikali ambayo end of the day affect us all.. tutaisifu pale inapobidi so far hiyo occasion haijafika !! watu wameiba sasa tunasikia habari hela zinarudishwa..zinarudishwa bila watu kupelekwa mahakamani?? na watu wanasifu hizi actions pls)..inaboa sasa..yani ukiangalia new posts 99% hana lolote jipya..Mod's no offense but get serious..
 
Mhhh, tupo... tupo kabisa.... Jeuri ya...!? Bado sioni kosa kubwa. Ni kuelekezana tuu

Kwi kwi kwi!
Wewe kweli ulipikwa katika chipukizi!
Umesahau kumalizia hiki kibwagizo "Yeeeba waah!
You made my day!
 
Nadhani tunatakiwa kufinya uhuru kidogo ili kuhakikisha tuna-include jamii nzima ya watanzania kwenye hili jamvi, Kuna watu hawana muda mwingi wa kuchambua mchele na pumba, hivyo ni vyema tujitahidi mchele wetu uwe kidogo kama wa Mbeya vile...

Jinsi tunavyoifanya forum hii iwe makini ndivyo mambo mengine mazuri yataletwa hapa kabla ya kupelekwa kwenye chombo kingine chochote kile cha habari!

Hivyo basi, tuwe na mkakati wa kufanya utani uliozidi kipimo au mzaha uliozidi kipimo upungue, ili Wawakilishi wetu (Wabunge,madiwani,masheha, wawakilishi kwa huku kwetu Tanzania visiwani) wapende kuja humu kupata maoni ya wananchi kwa urahisi na kwa ufasaha.

Hivi JF member utajisikia je siku moja "Mbunge/mwakilishu anasemama pale Dodoma/Unguja anasema, ... Kutokana maoni ya ya Mtandao wa Watanzania unaitwa Jambo Forum, mheshimiwa spika... wanasemaa .... na Mh. Spika wewe ni shaidi kwamba kila lililoibuliwa na JF limekuwa jambo makini na kwa kweli limesaidia kujenga ujasiri wa kujadili mambo katika taifa letu....) ... makofi na vigelegele kutoka kwa wabunge ... pwa pwa pwa....

Pia ushauri mwingine wakati ukianzisha thread angalau jifanye wewe mwanzilishaji hoja kuwa kama moderator wa hoja yako ili kuwaweka sawa wenzako warudi kwenye mjadala uliokusudia... kwa kufanya hivyo tunatendea haki wenzetu walio na muda mfupi wa kupitia humu, na kwa taifa letu wote.

Si kila kitu kinatakiwa kufanywa na moderator au administrators wa JF....

Heshima Mbele wanaJF
 
WanaJF,

Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvu kinaonekana kama breaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya magazeti ya jioni tupunguze kidogo kuvileta.

Kuna News na Issues naona bora tukate Issues hapa na news ziwe kwa ajili ya kutengeneza Issues,i mean zitumike kujenga hoja!! sio una copy na ku paste humu laa tupe link tukaisome huko!!
 
Kuna News na Issues naona bora tukate Issues hapa na news ziwe kwa ajili ya kutengeneza Issues,i mean zitumike kujenga hoja!! sio una copy na ku paste humu laa tupe link tukaisome huko!!

jamani bora ziwekwe habari kamili sio link wengine baadhi ya link hazifunguki.

pia habari kutoka magazetini sio mbaya kuwepo na zinatusaidia sana ktk kuunda hoja na kuauthenticate hoja zetu.

tuache hizo
 
Lakini ukumbuke tunavunja sheria wote wale wanao copy right kwenye site zao... angalia chini...

Tunataka JF ifanye kazi judiciarily.

Mfano huu hapa http://www.ippmedia.com/ipp/content/copyright.html

Sehemu yao moja inasema hivi...
Material may not be copied, reproduced, republished, downloaded, posted, broadcast or transmitted in any way except for your own personal non-commercial home use. Any other use requires the prior written permission of the IPPMEDIA.COM . You agree not to adapt, alter or create a derivative work from any of the material contained in this site or use it for any other purpose other than for your personal non-commercial use. You agree to use this site only for lawful purposes, and in a manner that does not infringe the rights of, or restrict or inhibit the use and enjoyment of this site by any third party. Such restriction or inhibition includes, without limitation, conduct which is unlawful, or which may harass or cause distress or inconvenience to any person and the transmission of obscene or offensive content or disruption of normal flow of dialogue within this site.

Lakini ku_andika kidogo alafu uka-redirect kwao... inaruhusiwa...
 
Lakini ukumbuke tunavunja sheria wote wale wana copy right kwenye site zao... angalia chini...

Tunataka JF ifanye kazi judiciarily.

sina hakika na elimu yako, ila nnaamini unaelewa kuquote habari na kutaja source hakuna athari na copy right.

kosa kufanya kazi ya mwengine ni yako.

kwa hiyo hapo hakuna kosa
 
Kwakweli no offense but im slowly beginning to loose interest, MOD's mpo wapi? tukiwatumia message kusema kuna too many random threads zisizo na kichwa wala mguu mnasema freedom of speech/maoni..and there i was thinking JamboForums was about constructive criticism (hoja hujibiwa kwa hoja anyone??) kuna watu kama Dar-es-salaam, Kamanda..either copying and pasting from ippmedia or elsewher or just random propaganda (Comments like ahsante JK kwa kazi nzuri?? lol nadhani kazi ya kupongeza serikali tunakiachia chama tawala..we are here to analyse na kukosoa matendo mbalimbali ya serikali ambayo end of the day affect us all.. tutaisifu pale inapobidi so far hiyo occasion haijafika !! .

Naona kuna waalimu wengi hapa JF... Iwapo mtu/mjumbe akipongeza serikali wewe kinakuwashia nini?
 
Lakini ukumbuke tunavunja sheria wote wale wanao copy right kwenye site zao... angalia chini...

Tunataka JF ifanye kazi judiciarily.

Mfano huu hapa http://www.ippmedia.com/ipp/content/copyright.html

Sehemu yao moja inasema hivi...
Material may not be copied, reproduced, republished, downloaded, posted, broadcast or transmitted in any way except for your own personal non-commercial home use. Any other use requires the prior written permission of the IPPMEDIA.COM . You agree not to adapt, alter or create a derivative work from any of the material contained in this site or use it for any other purpose other than for your personal non-commercial use. You agree to use this site only for lawful purposes, and in a manner that does not infringe the rights of, or restrict or inhibit the use and enjoyment of this site by any third party. Such restriction or inhibition includes, without limitation, conduct which is unlawful, or which may harass or cause distress or inconvenience to any person and the transmission of obscene or offensive content or disruption of normal flow of dialogue within this site.

Lakini ku_andika kidogo alafu uka-redirect kwao... inaruhusiwa...

Pointi muhimu kabisa.
Kutaja chanzo cha habari (kama wengi tunavyofanya hapa JF) ndio uungwana wenyewe na inaonyesha heshima kwa haki za wenzako.
 
Nadhani tunatakiwa kufinya uhuru kidogo ili kuhakikisha tuna-include jamii nzima ya watanzania kwenye hili jamvi, Kuna watu hawana muda mwingi wa kuchambua mchele na pumba, hivyo ni vyema tujitahidi mchele wetu uwe kidogo kama wa Mbeya vile...

Jinsi tunavyoifanya forum hii iwe makini ndivyo mambo mengine mazuri yataletwa hapa kabla ya kupelekwa kwenye chombo kingine chochote kile cha habari!

Hivyo basi, tuwe na mkakati wa kufanya utani uliozidi kipimo au mzaha uliozidi kipimo upungue, ili Wawakilishi wetu (Wabunge,madiwani,masheha, wawakilishi kwa huku kwetu Tanzania visiwani) wapende kuja humu kupata maoni ya wananchi kwa urahisi na kwa ufasaha.

Hivi JF member utajisikia je siku moja "Mbunge/mwakilishu anasemama pale Dodoma/Unguja anasema, ... Kutokana maoni ya ya Mtandao wa Watanzania unaitwa Jambo Forum, mheshimiwa spika... wanasemaa .... na Mh. Spika wewe ni shaidi kwamba kila lililoibuliwa na JF limekuwa jambo makini na kwa kweli limesaidia kujenga ujasiri wa kujadili mambo katika taifa letu....) ... makofi na vigelegele kutoka kwa wabunge ... pwa pwa pwa....

Pia ushauri mwingine wakati ukianzisha thread angalau jifanye wewe mwanzishaji hoja kuwa kama moderator wa hoja yako ili kuwaweka sawa wenzako warudi kwenye mjadala uliokusudia... kwa kufanya hivyo tunatendea haki wenzetu walio na muda mfupi wa kupitia humu, na kwa taifa letu wote.

Si kila kitu kinatakiwa kufanywa na moderator au administrators wa JF....

Heshima Mbele wanaJF

Kasheshe kwa hili uko nami meli moja .Viji habari vingine viacheni nje na tuendelee na habari hapa si kosa kuviacha hivyo.
 
sina hakika na elimu yako, ila nnaamini unaelewa kuquote habari na kutaja source hakuna athari na copy right.

kosa kufanya kazi ya mwengine ni yako.

kwa hiyo hapo hakuna kosa

Mara ngapi tume-copiwa vitu juu kwa juu hapa!!! alafu nakuuliza moja ya selling tools ya site mbalimbali huku duniani ni count of number of visitors...

Sasa uki-copy kazi ya mtu... bila hata kuweka link... unamkosesha visitors....

Hili nalo haulioni mtu wa pwani mwenzangu,... by the way si uje basi hapa mwanakwerekwe, nyuma ya bomba la maji machafu, opposite na garage... kando ya gari mbovu lile bedford. tuongee kidogo...
 
jamani bora ziwekwe habari kamili sio link wengine baadhi ya link hazifunguki.

pia habari kutoka magazetini sio mbaya kuwepo na zinatusaidia sana ktk kuunda hoja na kuauthenticate hoja zetu.

tuache hizo

Nakubaliana na wewe lakini ninachosema News iwe chachu ya wewe Kujenga Hoja na si lazima kuweka kila kitu, copy u paste then unaonyesha ukomavu kwa kuichambua na kuijengea hoja ili tuichambue, sio una kwenda www.Majira.co.tz una copy news yote kisha una funga usemi na kukaa kimya then what?

Wabillah Tawfiq
 
Kibunango..
mjumbe ata wewe ukisifu serikali ntakuona mpuuuzi tuu (Ignorant etc etc..na sita kutofautisha na wale wanaotoa kura kisa pilau na elfu 50)...(wakati kuna ndugu zako ambao hata sio wa mbali, hawajasoma,hawana umeme, dawa mahospitalini, hawana kazi, the list goes on...
 
kumbuka kuangalia na upande wa pili wa shilingi, otherwise na wewe unaweza kuonekana kuwa ni mpuuzi tu
 
kumbuka kuangalia na upande wa pili wa shilingi, otherwise na wewe unaweza kuonekana kuwa ni mpuuzi tu

I recall umeniuliza nini 'kinaniwasha'??..sasa u talking about upande wa pili wa shilling..'the irony'!!!Rudi shule kaka ujifunze to stick to your argument or just stop making random statements..
 
Back
Top Bottom