- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,060
- 10,462
IT WASN'T ME!Si nimekukuta huku ukisadifu maudhui nami nikawa sina budu kukupa sifa.
IT WASN'T ME!Si nimekukuta huku ukisadifu maudhui nami nikawa sina budu kukupa sifa.
You nailed it,hiyo ndiyo fact,wapo kwa ajili ya kupigwauzuri ni relative term, hata hivyo kuna wale ambao ni wazuri tu in general.., tunawaona ni wazuri kwa jinsi wao wanavyojiweka. yaani kile kijisehem kizuri kinawekwa katika hali ya ww kukiona. hapo ndo utakuta si wadada wala wakaka watageuka kumwangalia.,
character ya mwanamke ndo itakayomfanya mwanaume atulie naye au la, anachowaza, anachoongea, anavyojiona hivi vitu vinamata zaidi. wewe kila saa unaniambia tu jinsi unavyosifiwa, jinsi ulivyo mzuri unafikiri mi ntafanya vipi? nami ntakusifie nipate nnachokitaka kwa mda huo tu.
wanawake wenyewe pia wanahusika na upotevu huu, kuanzia mashuleni mpaka maofisini, wadada wazuri wanakuwa kama wanatengana na wenzao wale , story zao na mambo yao sasa dooh, hata kama alikuwa hana mawazo ya kijinga anapandikizwa roho ya kutoridhika, anakuwa na mentality flani hivi kuwa kwa uzuri wake she deserves vitu vikubwa sana, she is expensive nk nk, wanaume hili ndo hatulitaki sasa.
kumakuwa na kitu flan hivi, mwanaume akikutana na mwanamke kwa kumwangalia tu hivi anajua huyu anatongozeka au hapana, sasa nikae nawewe wakati ulivyoo kaa kaa upo kusikiliza offer mpya? si nimalize niondoke? wasichana wazuriiiii wale general wapo kusikiliza offer kila siku.
Lingine wanawake wameumbwa kuvutiwa na material things. wengi mtanibishia lakin kuna ukwel hapa, Wakati wanaume wanavutiwa na wanawake. Sasa angalia Mwanaume akipata mawe au nafasi flani hivi anachotamani kuki favor ni mwanamke mzuri, mwanamke mzuri yupo kusikiliza offer hizo.
uvaaji wako, mawazo yako na character yako ni vitakudefine wewe. na ndicho kinachoamua
mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!View attachment 508053
View attachment 508054 View attachment 508055
View attachment 508029
Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.
Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.
Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.
Manchester woman says she is too good-looking to find love | Daily Mail Online
Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!
Ushauri murua kabisawao raisi saaan ukitaka kutulia na dada mrembo saaana au mzuri saaana piga mimba atatulia awezi kuangaika na jitumbo aki za akika sawa ukiona anaanza dharau mtie ya pili yani mwendo huo huo ata acha mwenywe tuh ni hayo mkuuu
Hahahaaaa!! We kataa tu.IT WASN'T ME!
Hakuna mkate mgumu kwenye chai!
mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!
Hapana its just appreciation, sio kila kitu huwa kibaya but only some are crazy!And still huwa unawadiss kweli wanawake!! Au sio huyo alokuvurugaga?
Haya bwana.Hapana its just appreciation, sio kila kitu huwa kibaya but only some are crazy!
Acha dharau.Duh...eti huyu naye mzuri
Unajua wengi wanajionaga wazuri ila uzuri tunaosema ni ule unaoonwa na wengine.Mbn mm nina mvuto na ninae hb wangu na nmetulia nae
Tatizo hao nao ukiwambia wanaringa huwa hawajijui. Kwahiyo mwanamke mrembo uweze kupata mwanaume wa kuji commit kwako unapaswa kuwa na kazi ya ziada ya kumuonyesha hauringi na huna kiburiDuh!, Aisee. Heri yangu.
Kwahiyo naweza jiona mzuriii kumbe we unaniona boonge la kitukoUnajua wengi wanajionaga wazuri ila uzuri tunaosema ni ule unaoonwa na wengine.