Too good Looking to get a boyfriend

Too good Looking to get a boyfriend

wapo wanawake wazuri saana tu wanaolewa..
haya mambo hayana fomula...wapo wameolewa wameolewa wametulia..na kuna wengine hawana msimamo wakitongozwa nje wanalega msimamo wao..
kutotulia na mtu mmoja na umalaya ni hulka za mtu binafsi.
ukitongozwa na hata waume kumi kwa siku waeleze tu nishawahiwa hlf unakaza msimamo unaridhika na ulienae..si basi!!!
Wewe umeolewa? Nipate fursa
 
Wenzio wanamuona level hizo ndio maana akaongea hayo. Ila wabongo kwa kuponda doooh
Kizuri kinajiuza tu, huhitaji promo watu wanaelewa tu ila kwa kujinadi and shit ni kujaribu kuficha weakness flani
 
Tatizo hao nao ukiwambia wanaringa huwa hawajijui. Kwahiyo mwanamke mrembo uweze kupata mwanaume wa kuji commit kwako unapaswa kuwa na kazi ya ziada ya kumuonyesha hauringi na huna kiburi

Ujasiri wa mwanaume anachangia pia, I think.
 
Mbongo kwa dharau utawaweza?
Ushawahi pita mtaani alafu kuna wale vijana wa kitaa wanakuita huku wakikusifia alafu usigeuke!! Hiyo mitusi na kashfa zitakazofuata utatamani ardhi ipasuke, Freeland na huyo Extrovert wamenikumbusha hilo.
ila wewe ni mzuri..kila kitu
 
Mbongo kwa dharau utawaweza?
Ushawahi pita mtaani alafu kuna wale vijana wa kitaa wanakuita huku wakikusifia alafu usigeuke!! Hiyo mitusi na kashfa zitakazofuata utatamani ardhi ipasuke, Freeland na huyo Extrovert wamenikumbusha hilo.
Hahahahahha kumbe huwa mna maindi eeh, zile za

"Antiii...mrembo, dah kweli mungu huwa hakosei sio siri umeumbika uongo dhambi, hongera sana mamaa rangi yako tu sina la kuongeza mungu fundiii!"

asa ole wako usiseme asante, ujibu nyodo hapo uone utaskia...

"Acha pozi bibie ongea vizuri na wanaume uvae chupi ya dukani wewee,cheki lilivyo ovyoo kwanza ulipi wala nini!"
Hahahahah
 
Si watu ndio wamemwambia au? Hebu soma maelezo yake vizuri. Sometimes sio kuna kitu unaficha ila ni kujiamini.

Uko sawa, ni watu wamemwambia.

Mbongo kwa dharau utawaweza?
Ushawahi pita mtaani alafu kuna wale vijana wa kitaa wanakuita huku wakikusifia alafu usigeuke!! Hiyo mitusi na kashfa zitakazofuata utatamani ardhi ipasuke, Freeland na huyo Extrovert wamenikumbusha hilo.

Haha!, Nakumbuka hizo, wakaka ni shiider!
 
Hahahahahha kumbe huwa mna maindi eeh, zile za

"Antiii...mrembo, dah kweli mungu huwa hakosei sio siri umeumbika uongo dhambi, hongera sana mamaa rangi yako tu sina la kuongeza mungu fundiii!"

asa ole wako usiseme asante, ujibu nyodo hapo uone utaskia...

"Acha pozi bibie ongea vizuri na wanaume uvae chupi ya dukani wewee,cheki lilivyo ovyoo kwanza ulipi wala nini!"
Hahahahah
 
Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.
Tatizo la wanawake wengi wazuri wanakuwa Na Viburi kwa sababu ya Uzuri wao Yani ikatokea Mwanaume Hata Ukamtia Makofi mawili Tu Utasikia "wenzako Wananililia Mie" ...Madharau Mengi halafu sio wasafi sana Unakuta Anashindia maPafyumu tu Pesa Ukitafuta Malengo Yake yeye Ni Kupendeza Kwanza Kutunza Uzuri wake...
halafu wanawake Wazuri wengi Hawawezi Kujishusha KweNye Maisha Ukimwambia Apikie Kuni Kwenye Moshi Utakuta Ma Selfie Halafu Unakuta Status yake At "My Grand Pa Or At My Village " Yani Hawakubali Uhalisia Kila Cku Anataka Awe Top Rank Ya Uzuri wake
Wanawake wazuri Ni washereheshaji Tu ukitaka Uishi Naye Ukubaliane Na yote
 
Tatizo la wanawake wengi wazuri wanakuwa Na Viburi kwa sababu ya Uzuri wao Yani ikatokea Mwanaume Hata Ukamtia Makofi mawili Tu Utasikia "wenzako Wananililia Mie" ...Madharau Mengi halafu sio wasafi sana Unakuta Anashindia maPafyumu tu Pesa Ukitafuta Malengo Yake yeye Ni Kupendeza Kwanza Kutunza Uzuri wake...
halafu wanawake Wazuri wengi Hawawezi Kujishusha KweNye Maisha Ukimwambia Apikie Kuni Kwenye Moshi Utakuta Ma Selfie Halafu Unakuta Status yake At "My Grand Pa Or At My Village " Yani Hawakubali Uhalisia Kila Cku Anataka Awe Top Rank Ya Uzuri wake
Wanawake wazuri Ni washereheshaji Tu ukitaka Uishi Naye Ukubaliane Na yote [emoji124at]

Hahaha, umenchekesha eti selfie 'at my grand pa..my village'
Kunakuwa sio kwake tena.
 
Hahahahahha kumbe huwa mna maindi eeh, zile za

"Antiii...mrembo, dah kweli mungu huwa hakosei sio siri umeumbika uongo dhambi, hongera sana mamaa rangi yako tu sina la kuongeza mungu fundiii!"

asa ole wako usiseme asante, ujibu nyodo hapo uone utaskia...

"Acha pozi bibie ongea vizuri na wanaume uvae chupi ya dukani wewee,cheki lilivyo ovyoo kwanza ulipi wala nini!"
Hahahahah

Yaani mi nachekaga kimoyo moyo.
Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu, yeye mweupeee, alafu mimi cheusi mangala, sasa ile tunapita wakaanza "aaah fanta na coca hao, kitu cheupe na cheusi rangi za mvuto" mie nikacheka alafu nikawapa tu hi alafu wakaendelea kujiongelesha, cheupe hakujibu chochote wala kuwasalimia, weeeeh acha waanze kumkashifu "we cheupe weupe wenyewe wa mkorogo nawe unajifanya mzuri.....cheki mwenzio rangi ilivyotulia,mtoto rangi adimu....." Jamani tulicheka yaani kutoka kusifiwa hadi kukashifiwa. Sasa hapo tusingeitikia wote kila mmoja angepewa kichambo sawasawa na rangi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom