View attachment 508053
View attachment 508054 View attachment 508055
View attachment 508029
Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.
Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.
Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.
Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!