Too good Looking to get a boyfriend

Too good Looking to get a boyfriend

eleke upuuzi uko mbona kawaida sana huyo. Apo ni bandiko la biashara wadada wadangaji wana mbinu
 
huyo kwa matumizi ya usiku mmoja au mbili lodge sio mbaya
 
Jidanganyeni, Nilishakua na dem mzuri ile mbaya, unajua uzuri bas pale ilikua n sheedah, Nikajiwa na iman hizo hizo za kuibiwa mana ilikua hata mkpta njian n kero, nikamtaftia visa tuka break up kwa kulazmisha, Nikaja kupata demu, yaan ukimuona tuu DUSHE linalala, Sasa ndo uchague either kuogopa kuibiwa au kupata wa usiku tuu, wanaita NIGHT SHIFT
 
Kwa asilimia kubwa nakubaliana na hiyo statement yake, Wanawake "Wazuri wazuri" wengi wao wanakuwa na demands nyingi kwa ajili ya Ku maintain uzuri wao, then wanakujiamini Fulani wakijiaminisha kuwa soko lao ni kubwa coz wanakuwa na idadi kubwa ya tongozo, then some of them sio wanyenyekevu ni wajuaji juaji flan an wanajiona wako too perfect.
 
Kwa alimia kubwa nakubaliana na hiyo statement yake, Wanawake "Wazuri wazuri" wengi wao wanakuwa na demands nyingi kwa ajili ya Ku maintain uzuri wao, then wanakujiamini Fulani wakijiaminisha kuwa soko lao ni kubwa coz wanakuwa na idadi kubwa ya tongozo, then some of them sio wanyenyekevu ni wajuaji juaji flan an wanajiona wako too perfect.
Hao ndio wanafaa sasa.
 
Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.
Siyo kweli. Wanawake warembo sana wanalewa sifa na kuwa na dharau. Huoni huyo tatizo lake ni kwamba hasikilizwi...wana madai ya ajabu na kutaka kuabudiwa. Ni kweli sura na urembo wa mwanmke utamvuta mwanaume lakini kudumu naye sana sana ni tabia. Maana tabia zikiwa mbaya hata huo uzuri mwanaume anakuwa hauoni tena. Ndo maana wanatumika na kuachwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom