Wengi wa hao warembo tamaa iko mbele kama tai,
Mfano leo akipewa 200,000 kesho akapata mtu mpya akampa 100,000 ya jana itasahaulika,
Ole wako mpeleke chuo ndo mwisho wa mahusiano yenu,
Au ukimuwezesha kwa kumpa mipango ya kimaendeleo basi akishaona njia umepoteza jumla!
Nadhani ni watu waliondikwa kwenye maandiko kuwa ni watu wa kuistarehesha dunia tu
Ni wachache mno wenye kuweza kujilinda na kujiheshimu,
Pia hawana fadhira hata kama utajitoa kwa mtu huyo na wewe mwenyewe kuishiwa hawezi kukusaidia hata kama watakuwa na uwezo huo.
Ni wanaume wengi wamefungwa sababu ya kutaka kuwaridhisha lakini mwisho wake umekuwa mbaya.