Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
- Thread starter
- #21
mwanamke akiwa mzuri sana atanifanya nigombane na watu wangu wa karibu... pili atanifanya nisifikirie maendeleo nimfikirie yeye tu...!!!!
Tehe!, kumfikiria yeye tu kama hawa dates wake aliwapata, mwenyewe anataka kuongea ya maana wao wamekalia kumsifia tu mpaka anaboreka.