Tom and Jerry turns 76 today. Share your memories now.

Tom and Jerry turns 76 today. Share your memories now.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
13880212_1334475966580162_745591609374649788_n.jpg
 
Hivi clip zao za matukio zimeishafika ngapi mpaka sasa, maana daah.
 
Nilikuwa siwakosi. Ed, Edd and Eddy bado wapo? hawa nao wanavituko balaa.
 
Na admire mwanaume ambaye hadi utu uzima wake anapenda katuni... kuziangalia na kuzifuatilia... ni wachache mnoo.
Nazipenda sana but wenzangu wananiona kama napenda movie za kitoto!
 
Na admire mwanaume ambaye hadi utu uzima wake anapenda katuni... kuziangalia na kuzifuatilia... ni wachache mnoo.
wanaume kama hao mostly hawana complications katika maisha, easy to handle.
 
fast and furry
niliwaona akina vin disel wanapoteza muda na hawawezi kukimbiza magari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom