Tom and Jerry turns 76 today. Share your memories now.

Tom and Jerry turns 76 today. Share your memories now.

Uongo dhambi, na utuu uzima wangu huu, nikikuta hiz katuni nageuka mtoto fasta, naangalia tena sana tuu... Hata sijui lini ntaacha kuangalia katuni
 
Wazee wa "jaw breaker". [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1470845668538.jpg
1470845675087.jpg

Nilikuwa siwakosi. Ed, Edd and Eddy bado wapo? hawa nao wanavituko balaa.
 
Na admire mwanaume ambaye hadi utu uzima wake anapenda katuni... kuziangalia na kuzifuatilia... ni wachache mnoo.
Mimi sijaacha ninapopata nafasi naangalia na mwanangu...
 
I heard wavumbuzi wa Dexter's Laboratory, Power Puff Girls na Ed Edd n Eddy walikuwa classmates
Dexter the akili kubwa na secret lab yake ipo well hiii kwa kids na nzuri akiwa na sis wake kichaaa Didy na mhasim Mandok...Ppf wakiw na harakat za kuokoa City

Ila ideaz zao nzuri sana
 

Pamoja na jitihada zote za Tom (paka) za kumkamata Jerry (panya mdogo) mara nyingi Tom anashindwa kumkamata Jerry kutokana na uelevu wake Jerry.

Nilichokuwa nakipenda khasa kuhusu hawa wahusika wakuu ni ule ushirikiano wao, huwa wanaoneana huruma na kuonyesha kupendana hata kama wanakuwa wahasimu.

Halafu ule muziki unaotumika kufuatia vitendo vyao ndiyo usiseme kwani wanapokuwa ama wakiburuza kitu au kunyata basi na muziki huenda hivyohivyo.

Katika series zote ninapendelea kuangalia na watoto hizi mpya kama - "Spy Quest", "Back to OZ" ambayo inashabihiana na ile ya "Wizard of OZ", Robin Hood and His Merry Mouse, Giant Adventure na The The Lost Dragon.

Hawa characters hawawezi kupotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom