Tokea Rais Samia aingie Madarakani Dar haijawa na hii Mvua Kubwa, ila Leo kaadhimisha Miaka yake Miwili tu it is raining cats and dogs

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia?

GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma tu Comments zenu Tukuka huku nikiona dalili zote za Mechi ya CAFCC Yanga SC na Monastir FC ambayo naiombea Ushindi kutokuwepo kwani nimedokezwa Mkeka wa kwa Mkapa sasa unaanza Kushiba Maji ya Angani.
 
Kwa mvua hii wale
lazima washinde, kongole kwa madam président kazi nzur tunaiona
 
Hivi we jamaa ni dereva bodaboda? Na kama ndio , kijiwe chako kipo sehemu gani kwà hapo Dar?
 
Acha uongo hiyo mvua iko wapi! Ikinyesha mtaani kwako unadhani ni kote.
 
Masika imeanza hakuna cha JPM wa Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…