Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

TOZO MPYA ZA MITANDAO YA SIMU TAFADHALI. HUU NI ZAIDI YA UFISADI WA WAZIWAZI KABISA MAANA HAIWEZEKANI KAMPUNI ZA SIMU ZIWEKEZE NA ZIILIPE SERIKALI KODI NA BADO SERIKALI HIYOHIYO INATAKA IKUSANYE ZAIDI YA WANACHOSTAHILI KUTOKA KWA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA SIMU
 
Kero yangu ni kwa TANROADS.napenda kupata majibu ya maswali haya:-
Ni kwanini hamkarabati barabara za Kata ya K/NDEGE Mitaa ya OYSTER BAY NA MKWAJUNI WILAYA DODOMA? Ni takribani miaka 10 Sasa sijawahi ona greda likishughulikia barabara hizi.

2.NI KWANINI MMESHINDWA KUZUIA AU SHUGHULIKIA TATIZO LA BAADHI YA WATU KATIKA MTAA WA MKWAJUNI WANAO ENDESHA KILIMO CHA MBOGAMBOGA KATIKATI YA BARABARA? Imefikia wengine kuona Ni haki yao na Sasa wamepanda miti Kama mipapai n.k.yangu Ni hayo tu
 
TOZO MPYA ZA MITANDAO YA SIMU TAFADHALI. HUU NI ZAIDI YA UFISADI WA WAZIWAZI KABISA MAANA HAIWEZEKANI KAMPUNI ZA SIMU ZIWEKEZE NA ZIILIPE SERIKALI KODI NA BADO SERIKALI HIYOHIYO INATAKA IKUSANYE ZAIDI YA WANACHOSTAHILI KUTOKA KWA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA SIMU
Sio tozo za miamala na manunuzi ya bundle pekee. Hata malipo ya majengo kwa LUKU pia ni ufisadi na wizi. Wengi wanakatwa lakini ni wapangaji walio omba separation. Tena wengime wamesha kufa na wengine wamehama. Vyema wanapo kata wataje na namna ya jengo mteja analo daiwa.
 
Barabara ya Kimara mpaka Maili moja iliyochini ya ujenzi imeanza kutumika kwa zile barabara 6. Imewekewa kiwango cha mwendo kuwa kilomita 50 kwa lisaa, ikilinganishwa na zile barabara nne za Tegeta hadi Moroco ambako mwendo ni kilomita 60 kwa lisaa.

Je, ni kigezo kipi kinatumika kuweka huo mwendo?
Je, kwa mwendo kasi huo, uchumi utasisimuka kwa maana kupunguza foleni na pia kuharakikisha mizigo inayosafirishwa kwa njia ya malori kuwahi kufika kule inakokusudiwa?
Je, kwa mwendo kasi huo, kulikuwa na haja ya kujenga barabara 8?
 
Kuna demu ananinuonya nanii nampa 5000 kila siku ana wiki hajanihudumia ,hili swala lifatiliwe
 
Selikali inapaswa kuwajali wananchi wake ama sivyo itawaokota wamezimia kodi zinapanda mikopo lukuki inakopwa zinakokwenda mawenge mawenge uwazi hakuna!!!!
Ninaomba serikali izidi kukaa kimya, huenda mambo yakizidi wananchi watapata morali ya kudai katiba mpya.
 
Ombi langu ni kwa taasisi za umma zimekuwa very slow kiutendaji,vyombo vyetu kama TAKUKURU,POLISI,MAHAKAMA mashauri mengine madogo kabisa lakini utatuzi wake kwa sasa unachukua muda MREFU mno tofauti na hapo awali Jambo ambalo hata marehemu lilikuwa likimshangaza sana sana,kila kitu kinakuwa tayari lakini KITACHELEWESHWA TU,WHY THIS SO!
 
Kuna majipu bado yapo mengi mfano:

Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.

Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.

Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga

Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Huu ndio unafiki na husda! Hutaki walimu waendeshe tuisheni ili kujiongezea kipato wakati unajua mishahara yao ni mkia wa mbuzi na haiwatoshi! Unataka waanze kukaba siyo?
 
Malori yanaharibu barabara mpya kariakoo,
Huku gari za sm zikipita na kukusanya fedha nyakati za jioni na usoku mitaa husika hasa ni mtaa wa narun'gombe, agrey, masasi, tandamti na magila yote ni kati ya mtaa wa ndanda na muheza,
Barabara ni mpya za lami lakini tayari zimeanza kuharibika huu ni uhujumu uchumi na ufisadi wa hali ya juu,
Ofisi za mizigo zipo hadi barabarani na kuzuia wapita njia na kuharibu barabara
Pia ni kuwatia unyonge na kuwaonea wamachinga
Serikali angalieni hili au mutaendelea kujenga barabara miaka nenda miaka rudi
Wakati hela hizo zingefaa kwa shule na zahanati
Piteni leo kariakoo maeneo hayo mujionee wenyewe
 
Uyui halmashauri Bado inadhulumu posho za wasimamizi wa NECTA!!TUNAOMBA NECTA IWE INAINGIZA FEDHA KWENYE AKAUNTI ZA WASIMAMIZI MOJA KWA MOJA!!PIA UTEUZI WA MAJINA YA USIMAMIZI WA MITIHANI YA TAIFA NA MAANDALIZI YA PRACTICAL UFANYWE NA NECTA MOJA KWA MOJA KAMA MNAVOTEUA WASAHISHAJI WA MITIHANI!!!HUKU HALMASHAURI KUNA URASIMU NA RUSHWA ZA NGONO ZINAFANYWA NA MAAFISA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI!!!
 
Uyui halmashauri Bado inadhulumu posho za wasimamizi wa NECTA!!TUNAOMBA NECTA IWE INAINGIZA FEDHA KWENYE AKAUNTI ZA WASIMAMIZI MOJA KWA MOJA!!PIA UTEUZI WA MAJINA YA USIMAMIZI WA MITIHANI YA TAIFA NA MAANDALIZI YA PRACTICAL UFANYWE NA NECTA MOJA KWA MOJA KAMA MNAVOTEUA WASAHISHAJI WA MITIHANI!!!HUKU HALMASHAURI KUNA URASIMU NA RUSHWA ZA NGONO ZINAFANYWA NA MAAFISA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI!!!
Poleni sana Uyui.
 
Back
Top Bottom