Allybalowab
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 481
- 215
Hapa kwenye kusaidia Tabaka la walala hoi ndio napata shida labda pale anapotokea mama katika mikutano yake akiwa namalalamiko huwa anasaidia sana hapo nakubali lakini haraka iliyotumika kununua hizo ndege ndio ingetumika kutengeneza reli hapo ningesema kweli awamu hii serekali ipokwaajili yawanyonge mpakasasa kwakukimbilia hayo mandege naona wenyevitambi ndio wamenufaika sisi watu wachini hatusafiri kwandege tusipakwe mafuta naikitokea mlalahoi kupanda ndege basi ni 1 kwa 10000Kwangu sikujua kuwa kuna watanzania wabinafsi wasiopenda wengine wasionakipato wapate kidogo tunachopata kama nchi. Watu wachoyo wapenda rushwa na wabinafsi. wanaopinga juhudi za raisi kusaidia tabaka la walalahoi.
Mungu saidia rais wetu Magufuli.