Napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais JPM kwa kumteua Angellah Kairuki kuwa waziri wa Madini.
Bila chembe hata moja ya unafiki, Angellah Kairuki ni mmoja kati ya mawaziri ninaowakubali sana.
Namkubali Kairuki kutokana na msimamo wake kwa kile anachokisimamia.
Ni mtu ambaye huwa hateteleki. Ni mtu mwenye msimamo na anayejiamini sana.
Mheshimiwa Angellah Kairuki, nakutakia kazi njema na yenye mafanikio makubwa katika wizara mpya uliyopewa.
Mungu akutangulie na kung'oa visiki vyote vilivyo mbele yako ili usijikwae.