Zanzibar 2020 Toka CHADEMA ianzishwe haijawahi kuwa na ushawishi Zanzibar

Mayala kwetu ni njaa-Magufuli.
Hayo maendeleo unayosema hayana sustainability, huyo msukuma mwenzio kaua macro/micro economy principle. sijui source ya funding itatoka wapi?

1. Baada ya uchaguzi ni sanctions

2. Kodi - almost hamna walipaji

3. no FDI

4. China ambayo umeitukana Kwa sababu ya bagamoyo port watakuwa very careful

anyway who cares ?
 
Hayo maendeleo unayosema hayana sustainability, huyo msukuma mwenzio kaua macro/micro economy principle. sijui source ya funding itatoka wapi?
1. Baada ya uchaguzi ni sanctions
2. Kodi - almost hamna walipaji
3. no FDI
4. China ambayo umeitukana Kwa sababu ya bagamoyo port watakuwa very careful

anyway who cares ?
Mkuu Interested Observer ,
  1. Baada ya uchaguzi huru na wa haki na CCM kushinda kwa kishindo, hakuna sanction yoyote kutoka kwa yeyote kwasababu Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, uchaguzi wetu ni mambo yetu ya ndani hatupaswi kuingiliwa na yeyote!.
  2. Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe kwa kutumia kodi za ndani
  3. na sio kutegemea FDI.
  4. China ni rafiki yetu wa kweli alikuwepo, yupo, na ataendelea kuwepo, tofauti na mabeberu.
P
 
Duh...!,Mkuu Interested Observer , yamekuwa hayo?!, anyway tuna program gani?.
Kama ni kwa kuusema ukweli mchungu wa CCM kutawala milele, huu ndio ukweli wenyewe uliopo na tarehe 28 October, utashuhudia.
P
One, hakuna critical thinkers, sioni hata kidogo, Babarosa, Jingalao, Kheri James (huyu ni Dar MBA), .. hata mawaziri wote niliowahi kuongea nao.

Wewe without compelling reason ushasema CCM wata tawala milele, hiyo ni mere hypothesis, unproven.

TWO: Usemi kama huo kuwa CCM itashinda na itatawala milele ni tactic tu ya kufanya watu wasistuke siku mtakayo iba kura, at the moment on time, kwa sababu mnajua mkistukiza basi watatishika, mnapoza kabla. That is absolute.

Mtu kama wewe uko media unaweza ukawa vilevile ni informer, I had witnessed you guys when you scramble for those envelops full of money. So what are you missing? Hiyo ndiyo Dar Es Salaam University, imekuwa ikizalisha watu kama nyie, in contracst to those good years.
 
Mkuu Interested Observer ,
  1. Baada ya uchaguzi huru na wa haki na CCM kushinda kwa kishindo, hakuna sanction yoyote kutoka kwa yeyote kwasababu Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, uchaguzi wetu ni mambo yetu ya ndani hatupaswi kuingiliwa na yeyote!...
1. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki, kama nilivyokuambia hapo juu, sanction zipo na is a matter of time, it is coming. Hakuna swift Code exchange amng banks, itakuwa kama Zimbabwe. Mmeonywa hamsikii. Hamjui maana ya sanctions. Hata bank will cease to function internationally, Watanzania watazuiwa kufungua account kwenye international banks, as long as you have Tanzanian passport. Believe me. They must investigate you first. Is happening now. Kama una fedha zako sasa hivi toa Bank weka nyumbani. Sikutishi.

2. Watanzania hawana pesa. Zimbabwe ilikuwa food basket of Africa, the world Number one of producer of Tobacco, wakati ule uchumi wa Zimbabwe ulikuwa mara kumi ya ule wa Kenya leo iko wapi?? Sembuse wewe Tanzania, hata terms of trade ni negligible. You export nothing, maybe AIDS. Lisu kishakwambia World doesn't need Tanzania, Tanzania needs the world. Mug Full Of Pombe (Magufuli) knows it.

3. Hakuna nchi yoyote duniani ambayo imewai kukwepa maendeleo bila FDI. China na USA ndizo zinaongoza kwa kuvutia FDI, sembuse na wewe?

4. Ati China, haaaaaaaaaaaaa, you know nothing!
 
Mkuu 1000 digits , hiyo siku, utaisubiri sana kufuatia Watanzania wanataka maendeleo na CCM ndicho chama pekee kinacholeta maendeleo hivyo Watanzania wataendelea kuichagua CCM daima dumu!.
Ushahidi ni usubiri October 28,

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Hakuna lá milele duniani usidanganye watu kwa kuwategemea policcm na vyombo vyengine.

Jeuri u/mnayoitoa u/mnaangalia usaidizi wa hivyo vyombo jinsi gani vitaibeba ccm lakini ujue tu kwamba ccm itaondoka madarakani.
 
Mkuu Interested Observer ,
  1. Baada ya uchaguzi huru na wa haki na CCM kushinda kwa kishindo, hakuna sanction yoyote kutoka kwa yeyote kwasababu Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, uchaguzi wetu ni mambo yetu ya ndani hatupaswi kuingiliwa na yeyote!...
  1. Hebu tueleze uchaguzi huru na wa haki unakuaje kisheria? Kwasababu unayosema na mnayoyafanya ni vitu viwili tofauti.
 
1. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki, kama nilivyokuambia hapo juu, sanction zipo na is a matter of time, it is coming. Hakuna swift Code exchange amng banks, itakuwa kama Zimbabwe...
Huyu anajidanganya sana, anafikiri Tanzânia inauwezo wa kujitegemea bila ya misaada ya hawoanaowadharau. Urafiki wa China anaousema kwamba watamtumia hajui kama huyo mchina wenyewe ni ndumi lá kuwili.
 
Mkuu 1000 digits , hiyo siku, utaisubiri sana kufuatia Watanzania wanataka maendeleo na CCM ndicho chama pekee kinacholeta maendeleo hivyo Watanzania wataendelea kuichagua CCM daima dumu!.
Ushahidi ni usubiri October 28,

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Mkuu tangu uoneshe rangi yako halisi kwamba ni kada wa kijani, basi hata ukweli unashindwa kuuona.
Chama chako hakijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar na unajua na wenzako wanajua. Ni mabavu tu yanatumika hakuna zaidi.
 
Zanzibar hakuna chama chenye ushawishi, habari ni Maalim Seif tu! Alipo wapo!
HAPANA, ukiangalia kwa haraka haraka ndo unaweza kudhani Zanzibar, hususani Pemba issue sio chama bali Maalimu Seif lakini ukweli ni kwamba, Zanzibar, hususani Pemba, issue ni chama... na chama hicho kisiwe CCM wala kinachofungamana na CCM!!

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana, hata zama za Sultani, Zanzibar and Pemba People's Party (ZPPP) ambayo ilikuwa na ushawishi mkubwa Pemba, kwenye chaguzi za mwisho enzi za Sultan ziliona bora waunganishe nguvu na ZNP, "Chama cha Waarabu" kuliko kuunganisha nguvu na ASP chama kilichokuwa na makando makando ya TANU!!

CCM hata iweke mgombea urais kutoka Pemba bado watatiwa adabu tu!!

Amini usiamini... jambo hilo ni Pemba pekee ndiko linaweza kufanyika! Hata Kaskazini, CCM ikiwakea mgombea kutoka Kaskazini, trust me, hawa jamaa miongoni mwao wengi tu watasaliti upinzani kama watu wa kanda ya ziwa walivyofanya kwa kuisaliti CHADEMA in 2015 bila kujali nguvu kubwa ambayo CHADEMA walitumia kutafuta uungwaji mkono kanda ya ziwa!!!

Watu wa bara ni viumbe wa hovyo sana!
 
Ina ushawishi mikoa ya kaskazini mwa Tanzania ni kama Maalimu Seif alivyokuwa na ushawishi kwa wapemba tu na waislamu walio wengi tena waisslamu wa siasa kali
 
Ina ushawishi mikoa ya kaskazini mwa Tanzania ni kama Maalimu Seif alivyokuwa na ushawishi kwa wapemba tu na waislamu walio wengi tena waisslamu wa siasa kali
Seif ushawishi wake ni was kikabila zaidi ana ushawishi kwa wapemba waarabu sio weusi Pemba kuna weusi kibao hata siku moja hawampi kura Seif.Dk Shein ni Mpemba Mweusi akina Profesa Mbarawa ni Mpemba mweusi pia wako CCM

Pemba haina wapemba waarabu tu wako weusi pia weusi wengi ni CCM
 
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za muungano....
Tatizo ni chama kuendeshwa kwa ukabila na kidini, tulioko bara tunaelewa. Kila sehemu utakuta wachaga wakiisifu CHADEMA bila hata sababu. Utakuta viongozi wa dini ya KKT kutoka kanda hiyo wakiisifu kwa kutumia neno demokrasia, bila sababu. Utaona viongozi wa kidini wakitoa waraka lakini ukiwaangalia ni wale wale na tukumbuke mgogoro wa Malasusa kugoma kusoma waraka huo kwenye eneo lake la utawala.

Walifikia hatua ya kutafuta wagombea wachaga ktk mikoa mingine na ikawezekana lakini kwa tabia yao kama ilivyotokea Ilemela, Mwanza, wakatupwa nje. Hawajawahi kuteua mgombea wa kabila jingine ktk wilaya za uchagani ni wao tu lakini wanataka wao wagombee mikoa ya wengine. Hii ni hata kwenye mambo ya dini. Uchagani hakuna askofu au padri wa kabila jingine anayekubalika.

Kwa upande wa Z'bar usitegemee kumkuta mchaga ktk biashara za kuweza kumshawishi mtu wa zenj. Zenj pia wana tabia ya kufahamiana wao kwa wao, tangu mavazi muonekano wa sura na hata majina. Hapo mchaga hapenyi. Bahati mbaya Zenj wanapeana biashara kama wao wachaga na maingiliano ya kidini kadi ya wachaga na wa-Zenj hayafanikiwi.
 
Back
Top Bottom