Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Mkuu Interested Observer , kwenye hili la critical thinkers wapo ila wameamua ama kukaa kimya ama they don't think critically anymore, instead they think positive kuisaidia nchi kupata maendeleo kwa powers of positive thinking.One, hakuna critical thinkers, sioni hata kidogo, Mtu kama wewe uko media unaweza ukawa vilevile ni informer, I had witnessed you guys when you scramble for those envelops full of money.
Hili la media ku scramble for those little brown envelopes ni kweli lipo na linatudhalilisha, ila sio waandishi wote tuko hivyo, mimi being one of them ambao hatupokei bahasha na tunalaani udhalilishaji huo wa kuwapa bahasha waandishi kwa mtindo huo wa kudhalilisha.
Media, Tumedhalilishwa!, Tumejidhalilisha!. Ni Matokeo ya Sheria Mbovu, Umasikini, Dawa ni Kuunganisha Habari na UtangazajI, Tulipwe Fungu Nene!.
Sio kila bahasha ni rushwa, nyingine ni sitting, nyingine ni logical support
Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa - Pasco wa JF!
P