Zanzibar 2020 Toka CHADEMA ianzishwe haijawahi kuwa na ushawishi Zanzibar

Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za muungano...
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO) = MAANA WENGINE SIJUI WANAPAMBANA ILI IWEJE!?

NIKAMA MAWAZO AFADHALI KUELEKEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA
 
Seif ushawishi wake ni was kikabila zaidi ana ushawishi kwa wapemba waarabu sio weusi Pemba kuna weusi kibao hata siku moja hawampi kura Seif.Dk Shein ni Mpemba Mweusi akina Profesa Mbarawa ni Mpemba mweusi pia wako CCM

Pemba haina wapemba waarabu tu wako weusi pia weusi wengi ni CCM

Acha kuongea pumba ndugu
 
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za muungano....
Kwani CCM mna ushawishi? bila Jeshi hamwezi kumaliza hata dk.2 kubabeki
 
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za muungano....
Hata ccm haina ushawishi uliosawa katimka pande zote za muungano. Kumbuka ya tanu na asp
 
Hilo ndilo wahafidhina wa chama kile wasichokijua ama wanajisahaulisha!!
Walifikiri kukivunja CUF kutamdhoofisha, alipotangaza kuhamia ACT tu, watu mda huo huo walikuwa na nguo za zambarau :D ndio kwanzaaaa ngoma imezidi kunoga. Shusha tanga pandisha tanga wanasema!
 
Walifikiri kukivunja CUF kutamdhoofisha, alipotangaza kuhamia ACT tu, watu mda huo huo walikuwa na nguo za zambarau :D ndio kwanzaaaa ngoma imezidi kunoga. Shusha tanga pandisha tanga wanasema!
Na hapo ndipo "wahenga" wakaweka mpira kwapani kwa kuwapa red card wapinzani ili wajijengee uhalali wa kutawala tena!!!
 
Back
Top Bottom