Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

Sasa naanza kuamini maneno ya msomali a.k.a al-shabab Rage kua, Jukwaa la katiba ni wahuni. Tena hawawezi kusimamia hili suala la mchakato wa katiba. Nimemwona jana kibamba na yule mwanaharakati mlimani tv wanavyokua waoga wa kutoa tamko.

Nadhani CHADEMA na NCCR watoe tamko bila kuangalia hawa jukwaa la katiba. Uhuni wa mhimili wa bunge umeshindwa kusimamia maslahi ya wtz hasa walalahoi.

ENOUGH IS ENOUGH TANZANIANS WE BARED FOR CHADEMA AND NCCR.
 
Tulijua itakuwa hivyo!
Hiyo ni katiba yao ccm si yetu watanzania; na mtaji wao mkubwa ni woga wetu!
 
Naona kuna upotoshaji wa makusudi kama si dhihaka ya namna fulani hapa bungeni. Hii niliiona tangu alipokuwa akichangia yule mzee wa Bastola - Rage namna ambavyo wanalitamka jina la kwanza la mhe. Lissu. Muendelezo huo nimeuona pia kwa Mwanasheria mkuu na pia kwa huyu mama Celina K. Hivi ni kweli hawafahamu kwamba anaitwa Tindu Lissu au ndo ktk kuendeleza vile vijembe vyao kama taarabu?
Vipi tena kaduguda?
 
Hako kademu kanakowasilisha hoja kanasema maoni yaliyotolewa na wadau wengi including jukwaa la katiba yamezingatiwa. Uongo mtupu
 
Mwanasheria anasema watatumia Daftari la Kudumu ya Wapiga Kura kupiga kura ya maoni ya Katiba
Nani atasimamia hilo zoezi? kama ni tume ya Taifa ya uchaguzi basi hakuna kinachofanyika maana hata tume yenyewe siyo huru!!!!!!!!! Hizi nguvu wanazotaka kuzitumia CCM nahisi kama damu yaweza kumwagika TZ Mungu aepushie mbali
 
Nawachukia waarabu kwa sababu ya ugaidi wao lakini nawapenda kwa sababu ya misimamo yao thabiti. Ukandamizaji kama huu kamwe usingekubalika nchi za kiarabu lakini kwa sababu mitanzania mingi ni MIKONDOO basi CCM wanawapeleka wanavyotaka wao.

Kitakachoendelea baada ya hapa ni malalamiko tu kwenye magazeti na mitandao lakini baada ya wiki moja MAKONDOO yameshasahau yalichofanyiwa.
 
Kwa namna mwanasheria mkuu wa serikali anavyoongea huku akiufagilia namna mswaada ulivyowakilishwa na namna alivyoponda hoja zilizotolewa na mh. Lissu pamoja na Machali kuna dalili zote kwamba muswada unaenda kupita bila kupingwa! Ila wajiandae, hiki ndo kifo chao moja kwa moja!! Bye bye CCM!

Huyu si alisema hakuna haja ya katiba mpya.
 
Hizi sera za kikwete za kutesa kwa zamu zinatupelekea kubaya.Hii serikali ya ccm inatudharau sana wananchi,hivi wanajuwa impact yake kweli?
 
Dawa ya hao watu iko jikoni. Tujianda vyema kupiga kura 2015 na kuwaondoa wote hao magamba kwenye nafasi zao
Utawaondoaje wakati wanakomaa kuweka mazingira ambayo yatapelekea kuwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi isiyo huru???????? ishu inabidi kukomaa kupata katiba mpya iliyotokana na Watanzania wenyewe, kama tunataka siku moja kuwe kuna uchaguzi huru.
 
Chadema wapo ua wametoka kama kawa

mimi sijui maana wakati mwanasheria anaanza kutoa hoja, kuna movement zilikuwa zikiendelea.ila si unajua hili li tbc1 wala hawakuonyesha waliendelea kumuonyesha mwanasheria. ila nadhani lazima walitoka
 
Muswada umepitishwa bila kujadiliwa; nilichoona bungeni ni kuijadili Chadema si muswada!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
nawachukia waarabu kwasababu ya ugaidi wao lakini nawapenda kwasababu ya misimamo yao thabiti. Ukandamizaji kama huu kamwe usingekubalika nchi za kiarabu lakini kwasababu mitanzania mingi ni mikondoo basi ccm wanawapeleka wanavyotaka wao. Kitakachoendelea baada ya hapa ni malalamiko tu kwenye magazeti na mitandao lakini baada ya wiki moja makondoo yameshasahau yalichofanyiwa.
hii ndio fact wala tusikatae tumezidi kulalamika bila action ni bora sasa kama wanaharakati humu jamiiforums tufanye hii kitu .inabidi tukabali yaishe kabisa uoga utatumaliza kabisaaaaaaaaaaaaa
hii nani atamfunga paka kengele imezidi, hizi kelele za mitandaoni hazina maaana kabisa..
tena humu tumeelishwa sana wapi mapungufu yalipo sasa tunachosubiri nianza wewe anza wewe...
 
Sisi watanzania tumechoka na kuburuzwa sasa na kama hatutachukua hatua tutawaachia watoto wetu uongozi wa Kifalme maana naona tunapelekwa tu..mawazo ya mtu mmoja yanalazimishwa kupitishwa na Bunge kwa sababu mleta mada anatoka (CCM) chama kisicho na maendelea ya dhati kwa miaka 34..wanachama wake wana akili zilizojaa mafuta na kufikiri kwao ni urefu wa bendera yao ya kijani...

Mimi naapa na nasema sasa imetosha watoto wetu tunawaandalia umasikini hii siyo chini ya Chama Kimoja naomba Wabunge wa CCM mjue hilo...mnafikiri mmefika hamuangalia upepo...kuna siku tutawapandia watoto wenu huko mlikowaandalia makazi ya kifalme....

Watanzania osterbay masaki tunakujua na kila mtu anahaki ya kuishi makazi mazuri lakini tumedharauliwa na hata yale ya msingi kama katiba sasa wanatunga wenyewe ina maana sisi hatuna akili kabisa!

Umuhimu wetu eti wakati wa kuomba kura tu!....MIMI NAWAOMBENI mwenye namba zao waambieni siyo mbali sana hapa patakuwa hapatoshi....

MWISHO NASEMA MUSWADA HUU WALIOUPITISHA CCM NI WAO SIO WA WANANCHI NA NATOA TAARIFA KUTOKA KIJIJINI HAPA KISHAPU MAMBO NI MBAYA KULIKO.
 
huyu mama kombani na mapengo yake bado anaongea pumba tu eti madaraka ya raisi yako palepale huo mswada ni wakwao sio sisi wananchi
 
Back
Top Bottom